Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa haswa za upinzani kupitia CHADEMA.
Nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani.
Lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia Mbowe, Maalim Seif, Lowassa, Lissu, Mnyika, Halima Mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.
Lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia CHADEMA inaonekana imani watu imeshawapungua.
Katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura CHADEMA au upinzani.