Hivi 2020 kuna Mtanzania ataipigia kura CHADEMA au upinzani?

hardboy

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
794
1,000
teh teh nadhani unatania tu.
Na mimi sidhani kama kuna mtu anaipigia simu ccm, na kama wapo ni wajinga wakutupwa.au wanamaslahi binafsi.Hakuna mwananchi aliye elimika anaipigia kura ccm.Kama aneelimika basi ana maslahi binafsi.
Kwan ni Raisi gn alyepta ambae alkuw anatoa chkul mlo 3 kwa kla mwnanch wa Tanzania? Ugumu wa maisha ea ss hautokan na m2 yyt ila ni mabdilik ya hli ya hew mvua hzinyesh kw wkat ndio ttz na chanz cha ugumu wa maish na sfhan km kna Raic yyt dunian ambey anawez kuiyamrsha vua inyesh kw hyo acheni kunasbisha wkati na m2 hii ni mpango ya Mungu.
 

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
13,375
2,000
Mirembe umetoroka au umeruhusiwa? kama umeruhusiwa fuata ushauri wa Dr kwa kumeza dawa kwa wakati ndugu kwani unakoelekea ni kuwa MWENDAWAZIMU kabisa
 

Ngoso

JF-Expert Member
May 26, 2012
528
250
Hiyo sentensi yako ya mwisho inaonyesha eitha bado uko usingizini au umepoteza fahamu kwa muda mrefu na ukizinduka utajua kuwa uchaguzi wa 2015 ulishafanyika tayari na sasa hivi ni mwaka 2017. Ugua pole na karibu tena kwenye uhai.
BADO YUPO 3G
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom