Hivi 2020 kuna Mtanzania ataichagua CCM?

Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Wapo wengi.wala tusijidanganye.tulipiga kelele kabla hajachaguliwa magufuli kuwa mgombea kwamba ccm ndo mwisho wao.alipochaguliwa kugombea wote tukafuata mkumbo wa ccm.
 
Ccm ushindi Ni lazima upende usipende , kumbuka kuna bao la mkono. Kama unabisha tuweke weka pesa niweke jiwe,
 
Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Mirembe wako wengi na psychiatric ziko hospital zote nchini watawapigia hao wenzao ccm
 
Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Nani aliyekulaghai eti CCM itahitaji kura ya mtu? Udhaifu katika taratibu za kuundwa TUME ya uchaguzi ndiyo unaoipa CCM kiburi! TUME nzima ni chombo cha CCM kwa faida ya CCM, ni tawi lao linalopokea amri na ishara toka Lumumba!

Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Nani aliyekulaghai eti CCM itahitaji kura ya mtu? Udhaifu katika taratibu za kuundwa TUME ya uchaguzi ndiyo unaoipa CCM kiburi! TUME nzima ni chombo cha CCM kwa faida ya CCM, ni tawi lao linalopokea amri na ishara.toka Lumumba!
 
Back
Top Bottom