Hiv wizara ya utumishi wa umma inasomwa lini?

Hata mimi nilitaka kuuliza kuwa Management ya utumishi wa umma itawasilisha lini ili japo tujue wameongeza kiasi gani mishahara, pia PAYE imepunguzwa kiasi gani.
 
Ilishasomwa kitambo mpaka tumesahau subir bajeti ya wizara ya fedha tarehe 12\6
 
Back
Top Bottom