HIV-positive couple commits suicide -Je ni Muhimu Kupima kabla ya Ndoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIV-positive couple commits suicide -Je ni Muhimu Kupima kabla ya Ndoa?

Discussion in 'International Forum' started by Shadow, Jan 14, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Je kuna haja ya viongozi kuweka sharti kwamba kabla ya ndoa kufungwa, wanandoa watarajiwa wapime? Je hii itasaidia ukichukulia kwamba watarajiwa hawa 'uonjana' kabla ya hata hiyo ndoa?

  HIV-positive couple commits suicide
  Robert Muhereza

  Kabale

  They were preparing for their big day, when they would be formally united in church as husband and wife. But after taking medical tests and finding out that they were both HIV positive, the couple decided the discovery was too painful to live with and agreed to commit suicide.

  Kabale District police commander Gasper Obingu Onzi, yesterday identified the couple as Prosper Owaruhanga, 22, and Lydia Nyirabukyo, 20, both residents of Gaju cell in Kabale town.“We received the information about the incident on January 12 and we tried our best to save their lives by rushing them to Kabale regional Referral Hospital but they died before they could be treated,” Mr Obingu-Onzi said.

  The father of the deceased man, Mr Nshake Ntebirwe, who reported the incident to the Police, said in a statement he recorded that the two secretly got engaged two months ago and, after agreeing to wed later this month, decided to go for an HIV test as part of preparations for the wedding. However, after learning that they were both HIV positive, they opted to commit suicide, according to Mr Ntebirwe. “They committed suicide by taking cooper tox, a chemical used in spraying pesticides. I imagine the two sat and agreed to die,” Mr Ntebirwe said.

  Mr Owaruhanga was a driver, who was usually hired to transport business people to different rural markets in Kabale District. His wife, who hailed from Muko in Rubanda West County, was unemployed. Mr Obingu-Onzi said people who have acquired the HIV virus, which causes Aids, should not despair, as there are initiatives to support them. He also warned people against committing suicide, saying it is an offence.

  The incident comes barely a week after a paper showed that Uganda’s HIV prevention model is outdated and no longer offers adequate protection against new infections. The paper, written by Ms Milly Nattimba, Dr Fred Sengooba, Dr Fred Wabwire-Mangeni and Prof. David Serwadda, all of Makerere University, said the bulk of new infections are now occurring among couples in long-term marriage-like relationships and discordant couples (in the 30-39 age bracket), yet preventive messages have not expanded beyond the 15 to 24 age group. However, the Kabale incident is a reminder that while new approaches to the fight against HIV are being sought, the government should not get its eye off the below 24 age group.

  Uganda’s ABC model of Abstinence, Be faithful and use Condoms reduced HIV prevalence from 18 per cent to single digits but experts are worried about the stagnation of the rate as well as the rise in new infections.
   
 2. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu ahsante kwa hii taarifa!

  Kuna suala moja hapa ambalo ni muhimu tulijue... kupima/kutokupima hakubadilishi status ya afya ya mtu ila ni njia mojawapo ya kumfanya atambue hali yake. Kwa wanandoa watarajiwa mi binafsi sioni ubaya kama wakipima ili kujua ni jinsi gani wataweza kuishi iwapo mmoja/wote watakuwa wameambukizwa VVU! Suala la kujinyonga sio geni kwa waliwahi kupima maana hata kabla ya kuleta hizi huduma za ushauri nasaha n.k watu walikuwa wakijirusha kutoka kwenye magorofa, wengine walikunywa sumu na hata wengine kudiriki kujipitisha barabarani ili wagongwe na magari.

  Kuhusiana na hawa vijana walienda kupima ili kujihakikishia uwezekano wa kufunga ndoa na ninachoweza kusema ni kwamba kama ni kujinyonga hii ilikuja kwa sababu hawakuwa tayari kupokea majibu yao. Ni vizuri tukaacha kuchora graph kwa kutumia point moja lets face it kwamba having HIV test is best for both partners. Hata kama sio kwa kuwekewa masharti ni bora wanandoa watarajiwa wakapima hata kama wameonjana.

  Kupima ni kwa hiari yako mwenyewe na isiwe kwa kulazimishwa maana hakuna aliye na haki ya kujua afya yako zaidi yako mwenyewe au na mwenza wako.

  There are some risks worth taking.....
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Nawapa pole sana. Kweli wamechukua uamuzi wa hali ya juu sana. Nafikiri counselling inahitajika sana hasa kwa young people. Pia nashauri katika hali yoyote ile ni vema kama unatafuta partner wa kudumu or say wa muda mrefu ni vema mpime Virus!!! Hapa sisemei wale wa hit and run!!! I believe kwa hit and run you should use instant precaution!!!! Tatizo ukimpata short time partner ukiwa umeutwika hukumbuki hata precaution i.e condom!!!! Tuachane na hit and run, tubaki na dedicated partner ambaye utakuwa huru kupima na kuishi kwa uaminifu. Kwa nini starehe ya dak 5 ikuletee umauti!!!??? Then baadaye unaaanza kujuta na kuteseka kwa magonjwa na unyanyapaa??? Ni wakati umefika tubadilike, mimi na wewe.
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Its very sad!

  Kuna habari ambazo jamii haina.

  Habari zilizoko mtaani kuhusu HIV_ADS hazitoshi au watoa huduma hizo hawako makini.

  Hakuna haja ya kujiua simply one is positive and especially couple in love!! Ingekwa hata ni mmoja ambaye amesalitiwa..we could think...

  Kuna alternative nyingi amabazo wangeweza kuzitumia na maisha yakawa very ok.

  Hawakuwa na muogozo wala waliofanya vipimo hawakuwa makini au kuwa na uelewa wa kutosha kuwasaidia wataja wao!
   
 5. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Too bad....
   
 6. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna swali moja hapa limesahaulika kwa wale wanaouliza kama kuna haja kwa wafunga ndowa kupima HIV .jibu ndio haja ipo tena kubwa sana ,ikiwa leo watu wawili wamefunga ndowa bila kujuwana afya zao mara tu pamejaliwa ujauzito na mtoto yupo njiani kuzaliwa bila wao kujuwa kuwa tayari ni wathirika inafanya kiumbe asiyekuwa na hatia ambae hata raha ya maisha hajaijuwa kuzaliwa na maradhi ambayo ni mateso makubwa.
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Heshima yako, BJ

  Kama ulivyoweza kukokotoa hapo juu, ni kweli ni vema na haki kwa wanandoa watarajiwa kupima hili kulinda maajaliwa ya mtoto kama ikitokea mke kapata ujauzito. Natumaini Serikali kupitia taasisi zake na mashirika ya kijamii vitashiriki kwa nguvu zote katika kuelezea faida za wanandoa watarajiwa kupima. Maana siku hizi kuna dawa ambazo mama mjamzito aliyeathirika anaweza pewa kutumia na akajifungua salama mtoto asiye na HIV.
   
 8. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Inasikitisha!

  Kwa nini vyombo cha dini, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wanaweka shinikizo wenzi mtarajiwa kupima HIV?

  Hakuna sheria ya kulazimisha upimaji HIV. HIV/AIDS ni moja ya ugonjwa ambao upimaji wake ni wa hiari kwa 100%. Hakuna mtu anayelazimishwa kupima. Hata mama mjamzito anaweza kukataa kupima kama hayuko tayari kufanya hivyo.

  Sasa basi, uamuzi wa kupima baina ya watarajiwa ni lazima ubaki kati yao wawili. Hii tabia ya vyombo vya dini, wazazi, ndugu, jamaa, na marafiki kulazimisha wenzi watarajiwa kupinga ngoma ni lazima ikome.

  Pengine hao vijana wamechukua uamuzi wa kuondoa maisha yao kwa sababu hawakuweza kui-imagine jinsi matokeo ya vipimo vyao yatakavyopokelewa na wazazi na ndugu. Pengine labda kama uamuzi wa kwenda kupima ungekuwa baina ya wao wawili, wangeweza kukabiliana na matokeo, na kupanga mikakati mipya ya kuishi kama waathirika. Walistahili kuendelea kuishi.

  Na kwa nini HIV pekee? Kama watu wako makini na afya zao, kwa nini wasipime na magonjwa mengine ambayo ni chronical na terminal. Pima kila kitu kabisa. Check historia ya familia ya mwenzi wako mtarajiwa kuona kama kuna ugonjwa wowote ambao unaweza kuleta mushkeli kwenye ndoa yenu. Kwani si mambo ya kulinda afya!!!
   
 9. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kupima ni muhimu ili kama mmoja kaathirika asimwambukize mwenzake, ama hata kujilinda kuzaa watoto walioathirika. Inatia huruma kwa hawa jamaa, lakini wahenga walisema "Ndoa hufungwa mbinguni...".
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,586
  Likes Received: 82,136
  Trophy Points: 280
  What if the results were not accurate? I have seen few cases of people who were mistakenly told by their doctors that they had HIV and were on medication for years.
   
 11. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  To commit suicide was not the only solution.
   
Loading...