luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,868
iyo persol gs imekaaje mkuu .. hata wanaume twaweza pakaa iyoooKuna mtu kakushaur atumie persol ok saw ni nzur ila zipo according to levels na concentration kuna ya 3.5 5 na ile kubwa zaid yaan ile ya free acne so amewah tumia dawa yoyote ya kutoa hizo chunusi mwanzo
Second vipi amewah kutoa mimba na je mzunguko wake wa hedhi ukoje? Hapa panaweza leta majibu mazur zaid ya tatizo.