Hiv nitaondoaje chunusi help wadau yaan chunusi zinanikatikia kinoma

hyperkid

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Messages
544
Points
1,000

hyperkid

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2019
544 1,000
Ayo makitu nadhani Ni genetic makeup,Kuna watu wanakuwaga Kama fenesi ila subiri watalamu wa ngozi wakushauri mkuu
 
Joined
Sep 5, 2019
Messages
16
Points
45
Joined Sep 5, 2019
16 45
Dawa zipo nyingi ila inategemea na ngozi yako
Kuna ngozi ina mafuta sana na kuna kavu ama mafuta kiasi
Na kuna ngozi zinakubali dawa haraka na kuna ngozi zinareact taratibu
Kuna dawa za asili na za waZungu

Dawa za asili
1. Changanya manjano, liwa, limao na asali ama ndizi mbivu
Unapaka asubuhi kabla hujatoka unakaa nayo dkk20 unanawa uso wako na sabuni ya kawaida tu, maji ya uvuguvugu. Usiku pia kabla hujalala

2. Sugua uso wako na nyanya then kaa dkk15/20 nawa uso

3. Ute wa alovera paka usoni acha dkk20 pendelea kuosha uso wako na maji ya uvuguvugu
Zipo nyingi sana

Dawa za dukani aka mzungu
1. botouer anti acne
2. Faiza
3. Neutroderm

Use one among them you’ll thanks me later!!! Chunusi zilikua hazinikauki usoni ila sasahivi nimekua msoftiiii hatari ngozi laini kama sijawahi pata chunusi
 
Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Messages
603
Points
500

Rocky City

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2017
603 500

kwa hiyo ww ulitumia zote za asili na mzungu??au ulitumia zaidi ipi??
 
MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
324
Points
250

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
324 250
changanya unga wa dengu na majivu na limao weka na maji kidogo pakaa asubuhi subiri kwa nusu saa,, nawa endelea na mambo mengine na jioni kabla ya kulala fanya hivyo hivyo wiki moja haitakwisha utakuwa kama mtoto mchanga
 
Forum statistics

Threads 1,343,537
Members 515,077
Posts 32,787,984
Top