hiv kwanin wavivu hatukosi visingizio jumapili?

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
kila ikifika jumapil utaona wale ambao hatupendi kwenda church tunaingizia vitu kibao, mara oooh leo nmeamka vibaya siendi church, mr dah nlitaka kwenda ibada ya asubuh ila nmepitiwa, mr umeme umekatika sijanyoosha, hiv kwanin iimambo?
 
haya mbona mambo ya kidini sana, yasikae kwenye jukwaa la dini?
 
Back
Top Bottom