Hiv adam kabla hajala tunda,kibongo bongo tunaeza mwita alikua..mwerevu,boya,au alikuaje wadau

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,958
Naomba kuuliza,kwahyo adam b4 hajala tunda alikuaje,yaan kiakil
Je alikua
1.mwerevu
2.zuzu

Then nataka sema hiv,hata adam asingekula tunda lile,..angeanguka tuu dhambin sabab uovu ulishaingia dunian kutoka kwa wale malaika waliokinukisha mbingun,so hata kama adam angekomaa vp,wale malaika wasingemwacha salama hata kidogo,so i think

It is what it is

Uzi tayar......mwaka mpya mambo mapya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asingekula tunda hata sisi tusingekuwa tunafyatuana mpaka kesho, wakina mama wangekuwa wanapata ujauzito kwa nguvu ya roho mtakatifu
 
Alikuwa kama mnyama wa kawaida na "kikokotozi" kilikuwa kinaning'inia hadharani. Hata sasa vikokotozi vyote vya kike na kiume vingekuwa wazi ukitaka kukokotoa unavuta aliyeko mbele yako.
 
Naomba kuuliza,kwahyo adam b4 hajala tunda alikuaje,yaan kiakil
Je alikua
1.mwerevu
2.zuzu
Then nataka sema hiv,hata adam asingekula tunda lile,..angeanguka tuu dhambin sabab uovu ulishaingia dunian kutoka kwa wale malaika waliokinukisha mbingun,so hata kama adam angekomaa vp,wale malaika wasingemwacha salama hata kidogo
Adam alikuwa nusu Mungu, alikuwa haingiliki na uongo wa aina yoyote!.. Ndio maana akatumiwa Eva kumuingia, na ndio maana alilalamika "Huyu mwanamke uliyenipa!"..
Dhambi isingekuwepo sababu walikuwa mazuzu, hawakuwa wajanja kujua mema na mabaya hata kama ungewapa visu kuuana bado isingehesabika dhambi!.
 
Mi naamin tafsir nying za kuhusu hayo maandiko ya hapo mwanzo ni ya kubahatisha tuu,sabab ukichunguza kwa undan ,logic ni ndogo sana

So naamin sku1 itafahamika tuu tafsir ya kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu..
Hizi story za adam ni zakufikirika hazina ukweli wowote..huyu adam na mwenzie hawajawahi kuexist ni code tuu ndani ya kitabu cha history kiitwacho biblia..
 
Adam alikuwa nusu Mungu, alikuwa haingiliki na uongo wa aina yoyote!.. Ndio maana akatumiwa Eva kumuingia, na ndio maana alilalamika "Huyu mwanamke uliyenipa!"..
Dhambi isingekuwepo sababu walikuwa mazuzu, hawakuwa wajanja kujua mema na mabaya hata kama ungewapa visu kuuana bado isingehesabika dhambi!.
Mungu alikuwa wapi wakati hayo yanatokea

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mi naiamini biblia,kwamba,adam alipiga mishe ila hakujua jema ama ubaya wa sex kama mbuzi ama simba,ila alipokula tunda,ndo akajua utam wake
 
Naomba kuuliza,kwahyo adam b4 hajala tunda alikuaje,yaan kiakil
Je alikua
1.mwerevu
2.zuzu

Then nataka sema hiv,hata adam asingekula tunda lile,..angeanguka tuu dhambin sabab uovu ulishaingia dunian kutoka kwa wale malaika waliokinukisha mbingun,so hata kama adam angekomaa vp,wale malaika wasingemwacha salama hata kidogo,so i think

It is what it is

Uzi tayar......mwaka mpya mambo mapya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hivi 'baibo' unaisoma kama usomavyo novel za James Bond?
Unatakiwa kusoma na kutafakari.

Hiyo iliyotumika ni lugha ya picha tu baba.
Wewe ulitaka kwenye vitabu vitakatifu waandike "walipolalana"?

Mwanamke alipevuka mapema akawa 'hajifill' kuishi na "mwanaume suruali" zikawa zinampanda hadi Adamu anaonekana zoba.

Shetwani hakushawishi "kula" kwa kutamka,bali aliburuza mkia wake kwenye naniliu ya Hawa kwa kujifanya kakosea kupita ama wataalamu wa masuala hayo wanasema shetwani ali 'naniliu' kabisa.

Tendo hilo lilimmaliza utulivu Hawa maana lilimsisimua na kumstarehesha.

Mahitaji ya "joka" ikawa ni kubwa sana kwake, hadi pale alipoomba, ama kulazimisha kuazimishwa "joka" toka kwa Adamu.

Wakati huo Adamu alikwishapigwa 'biti' kuwa, si rihusa, kugawa, kuazimisha ama kulitumia 'joka' lake hadi atakaporuhusiwa toka 'juu'.

Hadithi ni ndefu, lkn niseme tu kuwa, neno tunda na joka ni lugha za picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom