Hiv 1/4 ni cku ya waongo ama wajinga

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,914
1,977
Mfano:ukaambiwa yupo samaki mwenye kiwiliwili cha binadam na mkia ni samaki ukaamin ww ni MJINGA
Mfano:bastola ya kichina aIDHuru Ukaamin ww ni MJINGA
Lakin ukaambiwa MSANII flan kafa halafu ukagundua ajafa huo si uwongo.ss ujinga hapo uko wap zaid ya kuongopewa
MIM NAONA IITWE SIKUKU YA WAONGO.nawasilisha
 
Back
Top Bottom