Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

Juliana ,
Maelezo yako yanaonesha unaipenda sana CHADEMA.

Nadhani umewamiss sana makamanda.

Unajua CHADEMA imejengwa na vijana wenye akili na watanashati hivyo lazima utapamiss tu huku.

Rudi tu mama, utasamehewa, tumeambiwa tusamehe saba mara sabini

welcome home baby, we miss you too.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenifurahisha sana hapo nchi imetulia,nchi inasonga mbele na watanzania wameendelea kushuhudia UONGOZI uliotukuka
Ki ukwel ccm inatakiwa iwafundishe hawa ndgu zang vyama vinapodai democracy vianze kuonyesha democracy ndan yake ..CHADEMA kikanda CHADEMA mwenyekiti hanyoshewi kidole kisa mchaga
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une


Sent using Jamii Forums mobile app
Wafundishwe nini? Lugha chafu na kula rambirambi za watoto?
 
kwanini watanzania wasiwapuuze ikiwa MANGE ndio jiwe kuu na mwamba unaotumainiwa, kwanini msipuuzwe..??


michael-jackson-popcorn-read-coments-wait-let-me-get-my-popcorn.jpg
 
Mboga ya Mwigulu..kweli chadema ni kama maji unalala kwa bwana mwingine lakini ndotoni upo na Mbowe hakika alibadili gia angani kisawasawa.
 
Juliana nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri, Kama umeolewa huyo mumeo ana kazi sana sikutegemea mbunge wa viti maalum kuwa na mawazo na uandishi unaofanana na mtoto wangu wa darasa la nne, Badala ya kujadili hoja unamjadili Mbowe, Mbowe atakusaidia nini?

Mbowe ana uwezo wa kurusha ukoo wako wote huko kijijini pamoja na wajuu zako, Tatizo kubwa ulilonalo Umezaliwa familia maskini hivyo kuingia kwenye siasa na kutumia kodi zetu bungeni umeshasahau ndugu zako kwenye ukoo ambao kwa umaskini wao hata wewe binafsi hupendi kuongozana nao kisa umekuwa mbunge wa viti maalum.

Kikubwa angalia ulikotoka binti kesho utarudi mtaani kwani kuna Maisha nje ya bunge.

Usione mtu kama Nape na Mwigulu wamebadili aina ya siasa zao kwani wamegundua alama chafu walizoziacha bora wakae kimya ili watu wawasamehe, Wewe ni nani ndani ya CCM?

Hiki ni kipindi cha mpito cha uongozi watu wanajua kitapita iwe upinzani au ndani ya CCM

Mkuu bado uko karne ya ngapi?
Yaani mtu akitokea familia maskini hawezi kuwa mwanasiasa, pole sana maana haitakiwi hata ku-discuss na wewe
 
Na wewe ndiyo think tank ya wahuni na mafisadi wa MACCM? Ilikuwaje huyu akamchana dikteta uchwara hadharani bila hata kupindisha? Na think tank ya wahuni na mafisadi mlikuwa wapi? Acha upuuzi wako!


Umemsikia Kinana Leo..?
 
Kwani alilosema hapo ni uongo? Hata Mwinyi alisema nchi inaenda kama gari bovu haina sukani. Siku chache baadaye akaitwa Ikulu akaongea tofauti. Warioba pia alinena nchi imepoteza mwelekeo, Butiku akasema Rais anayejiona yeye ni tembo hatufai Watanzania. Hawa wote ni MACCM lakini hawaridhishwi na yanayojiri nchini.

Umemsikia Kinana Leo..?
 
Mwandishi wa utungaji huu mrefu sijui alichokisoma huko alikosomea kwani ni tunda bofu kwa walimu wake na huenda alikuwa kati ya vilaza na kama alipenya basi alipenyezewa. Naandika hivi kwa ushahidi. Kama ni mzuri kitaaluma basi angeandika kifupi na kitaalam!
Kumwacha bwana huku bado unampenda ni kujitesa. Uliondolewa cdm si kwa matakwa yako bali kwa upuuzi wako na kila leo unatamani kujirejesha.
Ombwe kama sio tobo la uongozi lipo huko ulikokimbilia kwani dereva wa lori si tu anaendesha ndivyo sivyo bali amehama barabara na anawapitisha porini.
Siamini kama hutokimbia kabla ya 2020 kwa jinsi ulivyo mwepesi!
Au kwako chongo ni kengeza? Ati maendeleo na uongozi mathubuti na imara! Ona aibu kimburu wewe na acha kiwaaibisha wanawake wenzako. Sofia wa uwt wapi maeneo? Njoo umfunde huyu mporipori!
 
Sasa Kama CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi si unapaswa kufurahia kwa kuwa wewe ni CCM? Au unawasaliti wenzio, ama ni kiherehere tu, ama kuna kitu ulisahau Chadema wakupe
Upinzani Imara ndiyo msingi imara wa chama tawala.
Upinzani dhaifu huzaa dola dhaifu.
(1) Mmekatazwa mikutano mmekubali
(2) Mmekatazwa siasa mmekubali.
Wapinzani dhaifu mmekubali Demokrasia ya vyama vingi ijifie.
Kuna ombwe la uongozi upinzani.
CUF hoi, nccr mfu, CDM imesinzia.
 
Juliana umesoma lakini Elimu haijakusaidia. Unaacha kujadili mambo ya msingi kama kuminywa kwa demokrasia nchini, unakalia ujinga mtupu?
Kama kweli ulitoka Chadema ukiwa na ushawishi kiuongozi, ungegombea jimbo lako upate, kuliko huo ubunge wa kupewa ambao sasa unaulipia fadhila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juliana umesoma lakini Elimu haijakusaidia. Unaacha kujadili mambo ya msingi kama kuminywa kwa demokrasia nchini, unakalia ujinga mtupu?
Kama kweli ulitoka Chadema ukiwa na ushawishi kiuongozi, ungegombea jimbo lako upate, kuliko huo ubunge wa kupewa ambao sasa unaulipia fadhila.

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kidogo, naomba kujua una elimu gani na umesomea wapi..?
Pia nataka kujua kama umewahi kushiriki shughuli yeyote ya kisiasa ama kuwahi kugombea hata ujumbe wa serikali za mitaa tu..?
 
Upinzani Imara ndiyo msingi imara wa chama tawala.
Upinzani dhaifu huzaa dola dhaifu.
(1) Mmekatazwa mikutano mmekubali
(2) Mmekatazwa siasa mmekubali.
Wapinzani dhaifu mmekubali Demokrasia ya vyama vingi ijifie.
Kuna ombwe la uongozi upinzani.
CUF hoi, nccr mfu, CDM imesinzia.
hawa waliokuwa wakishangilia chadema wakiandamana wauawawe]ndio wanasema Chadema wamekuwa dhaifu kuruhusu udikteta
 
Back
Top Bottom