johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,820
- 141,721
Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao.
Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni tia maji tia maji ubunge wao hausomeki sawasawa.
Kwa sasa CCM hali tete pale bungeni kwa sasa hawamuogopi Dkt. Bashiru wala Polepole wabunge wa CCM wanaikataa miradi ya chama chao iliyo ilani wazi wazi. Yaani ni kama kambale.
Mambo yanaenda kasi sana.
Nampongeza pia mbunge wa Tunduma na Suzan Kiwanga.
Niishie hapo.