Hitilafu ya umeme chanzo cha moto Soko la Karume

Joseverest

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
51,740
68,662
Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya Ilala, Ng'wilabuzu Ludigija amesema chanzo cha moto katika Soko la Karume inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na mtu aliyekuwa akiwaunganishia wafanyabiashara umeme bila idhini ya mamlaka ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).

Moto huo ulianza leo Ijumaa Aprili 8, 2022 saa 11 alfajiri na kuunguza vibanda vya wafanyabiashara ndogondogo wanaouza mabegi.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Ludigija amesema mtu huyo hata baada ya kuzuiwa kufanya shughuli hiyo na mwenyekiti wa wafanyabiashara wadogo alikaidi na kuendelea.

“Uchunguzi wa awali unaonyesha huyu mtu alitumia nyaya au vifaa vilivyopo chini ya kiwango, au pengine weledi wake ulikuwa haukidhi matakwa yanayotakiwa.

“Moto huo ulianzia pale alipokuwa anaunganisha na kusababisha vibanda 33 kati ya 96 kuteketeza na baadhi ya mali zilizokuwa ndani,” amesema Ludigija.

Ludigija ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Wilaya amebainisha kuwa, tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kumtafuta muhusika huyo ili hatua stahiki zichukuliwe kwa mujibu wa Sheria.

“Pia nimeshaunda tume ya uchunguzi, itakayofanya kazi kwa siku tano ili kuwa na uhakika ambapo itahusisha Shirika la Umeme (Tanesco) Jeshi la Polisi, Kikosi cha Zimamoto, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa pamoja na Jiji la Dar es Salaam,” alisema.

Aidha, baada ya uchunguzi huo kukamilika na kupata majibu, wafanyabiashara hao watarejea na kuanza kazi mara moja.

Msemaji wa Sekta ya Viwanda na Biashara ACT Wazalendo, Halima Nabalang’anya amesema mfululizo wa matukio ya moto kwenye masoko kwa kipindi cha miezi mitatu inaibua mashaka makubwa kwa wafanyabiashara.

SOMA PIA: Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022
 
Imeisha hiyooo
 
hii nchi hii. Chanzo cha mara ya kwanza walikuwa mateja, imeonekana mateja hawana pesa hata ya fegi, wanasingiziwa vishoka. Kukazia ujuha wa viongozi, tukio linachunguzwa.
 
Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya Ilala, Ng'wilabuzu Ludigija amesema chanzo cha moto katika Soko la Karume inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na mtu aliyekuwa akiwaunganishia wafanyabiashara umeme bila idhini ya mamlaka ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).

Moto huo ulianza leo Ijumaa Aprili 8, 2022 saa 11 alfajiri na kuunguza vibanda vya wafanyabiashara ndogondogo wanaouza mabegi.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Ludigija amesema mtu huyo hata baada ya kuzuiwa kufanya shughuli hiyo na mwenyekiti wa wafanyabiashara wadogo alikaidi na kuendelea.

“Uchunguzi wa awali unaonyesha huyu mtu alitumia nyaya au vifaa vilivyopo chini ya kiwango, au pengine weledi wake ulikuwa haukidhi matakwa yanayotakiwa.

“Moto huo ulianzia pale alipokuwa anaunganisha na kusababisha vibanda 33 kati ya 96 kuteketeza na baadhi ya mali zilizokuwa ndani,” amesema Ludigija.

Ludigija ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Wilaya amebainisha kuwa, tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kumtafuta muhusika huyo ili hatua stahiki zichukuliwe kwa mujibu wa Sheria.

“Pia nimeshaunda tume ya uchunguzi, itakayofanya kazi kwa siku tano ili kuwa na uhakika ambapo itahusisha Shirika la Umeme (Tanesco) Jeshi la Polisi, Kikosi cha Zimamoto, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa pamoja na Jiji la Dar es Salaam,” alisema.

Aidha, baada ya uchunguzi huo kukamilika na kupata majibu, wafanyabiashara hao watarejea na kuanza kazi mara moja.

Msemaji wa Sekta ya Viwanda na Biashara ACT Wazalendo, Halima Nabalang’anya amesema mfululizo wa matukio ya moto kwenye masoko kwa kipindi cha miezi mitatu inaibua mashaka makubwa kwa wafanyabiashara.

SOMA PIA: Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

IMG_0754.jpg

IMG_0821.jpg

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom