tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Habarini wanaJF kuna ndugu yangu anahitaji nyumba maeneo ya kimara iwe na vyunba viwili vya kulala,sebule ,jiko na choo luku ya peke yake maji hakiwa ya kushea sio mbaya iwe na fance na parking na angependa kuhamia mwezi wa kwanza isiwe mbali na barabara.bei 250000. DALALI HKUBALIKI LABDA KWA NUSU BEI. TTukutane PM