Back to Back Song mpaka mteme ndoano.
Kule kwa wachafu roho baada ya mziki kubuma, na kik za mademu Kubuma sasa wamejikita kwenda kukopa hela benk ili wanunue mandinga waweze trend
Sijausikia ila nikisikiliza magodoro ya diamondme hoi "salute kiba"Wimbo mkali Sana huu mazee, nimeusikiliza, interesting melody, vocal and tunes , salute Kwa producer .....!!!
Mkuu unajuaje labda hiki anachofanya hapa cha kuupromote huu wimbo analipwa??Mwanamme mzima badala ya kutafuta pesa unaanza kupromoti kazi za mtu mwingine na hulipwi.Unatia aibu wazazi wako ambao walijinyima kukupa elimu
Elimu uliyopata ww ndio inakusaidia kuandika hvi chief?Mwanamme mzima badala ya kutafuta pesa unaanza kupromoti kazi za mtu mwingine na hulipwi.Unatia aibu wazazi wako ambao walijinyima kukupa elimu
Ungekua serious kiasi icho ungeshakua Aliko dangoteMwanamme mzima badala ya kutafuta pesa unaanza kupromoti kazi za mtu mwingine na hulipwi.Unatia aibu wazazi wako ambao walijinyima kukupa elimu
duu, kuna watu mna roho ngumu aisee....we ungekuwa demu lazima ungemchoma moto boyfriend wako!Hii ni kwaya kama kwaya zingine, Mwamba anaexpire vibaya sana