Historia yangu juu ya punyeto na ngono jinsi nilivyopata uraibu

ulianza vizuri ila hapo kwenye bao 5 mpaka 6 naomba uniache kidogo. hii so fursa babu Kama unanishauri nishauri hapa hapa kwenye Uzi. nishahangaika saana na nawajua watu Kama nyie

Acha masikhara mbona mi napiga bao 5 au zaidi nikiamua?🤔 Unadhan wote wana mapungufu ya nguvu? Wengine nyeto tuliachaga advanced uboizini,nikikupa formula ya kuacha najua utaiacha na Nguv za kiume zitarudi
 
Bro hata mm ningeacga mapema ningekua hvyo unavyosema.. You just dont know a thing. Kuna ku do na ku over do. Overdoing is harmful and thats me
Acha masikhara mbona mi napiga bao 5 au zaidi nikiamua? Unadhan wote wana mapungufu ya nguvu? Wengine nyeto tuliachaga advanced uboizini,nikikupa formula ya kuacha najua utaiacha na Nguv za kiume zitarudi
 
Mkuu hapo ugonjwa wako ww ni stress+uoga na kutojiamini. Ushauri wangu ni kuwa tafuta kitoto kidogo dogo(ila asiwe mwanafunzi wa shule) ambacho bado hakijazoea au hakijawahi kbs kusex then ndo uwe nacho. Hakika stress zako zitatulia na uwoga utaisha then utajikuta umepona hilo tatizo coz kitoto hicho ukikipiga bao moja kinaridhika kbs na kitaitengeneza akili yako ijione kuwa kumbe unaweZa kusex na kumridhisha gal !
Afanyie test watoto wa watu,Mimba za utotoni mzee mbaba zitaepukwa vip,daaah yani afanyie practical watoto wa watu
 
Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe.

Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye mtandao ila sometimes zinakuwa ni stress zimezidi mapaka natamani mtu wa kuongea naye ila naona bora niposti humu Ili mjue madhara yake kwa MTU aliyedhurika NAyo na si wale wa kujiandikia tu.

Juzi mwenyewe nilikua nafanya survey ya kuangalia wavulana wenye miaka 13,14,15,16 jinsi walivyo maumbo yao, nilivyonotice nikajua Mimi nishajiua mapema tuu na sidhani Kama sikio langu LA kufa linasikia dawa.

Nilianza punyeto Nina miaka 13 na ndo mwaka huo huo nilioanza kuangalia filamu za ngono. Kiukweli zamani tulikua tunaenda internet cafe basi nikawa niko radhi nisitumie pesa ya shule niibane ili niende tu internet nikaangalie Picha hizo.

Si unajua tena Picha zile zinaturn emotions high na mm ndo nilikua na balehe na uume uliongezeka umbo ukawa mkubwa mkubwa. Baadae nikapata alternative ya punyeto. Nikawa nikitoka cafe nyeto yaani Mimi na punyeto tuu. nilibecome aware na madhara yake kutoka kwa watu Kama baada ya miaka mitatu ila kwa kuwa sikuyaona nilipuuza mi nikaendelea na mchezo tuu. Basi ikawa ndo hivo mimi na punyeto, punyeto na Mimi.

Sasa baada ya miaka minne yaani wakati na miaka 17 nikapata demu (my first gal) nikampenda tukapendana. Baada Kama ya wiki au wiki mbili nikaomba game mtoto akakubali kwenda chobingo heeeh goma likagoma kuinuka liliinuka mwanzo tu, baadae likalala like forever yaani sikumtia (akaniona msenge) nikakaa nikawaza Sana nikaanza mazoezi nikapata mcharuko wa mtaani nikaenda naye chobingo nikapiga goli mbili (my first sex).

Basi yule yule demu baada ya siku mbili nilivyorudi naye nikapige goma likanywea ndani ya kei kabla hata cjapiga LA kwanza. Roho ikauma Sana nikaanza kula mitishamba, nishaliwa Sana pesa. Ndipo nikaona bora niendelee tu na mchezo wangu huu nikawa nyeto na mimi, Mimi na nyeto. Na hivi nilikua na simu nikawa naangalia kwenye simu hizo porno. ikafika kipindi kila siku usiku na asubuhi Mimi na nyeto na nisipopiga siku mbili tu naona mwaka kiukweli hapa ndo nilianza kujiua mazima.

Maana ilizidi kiwanago naweza nikasema kwa mwaka nilikua naweza nikajitoa mbegu kila siku. Hii tabia nikawa addicted Nayo mpaka basi. Sio kwamba sina mwanamke, kiukweli sina sura mbaya mimi ni mweupe na hensam kiasi changu na ukiniona huwezi ukanidhani. Mshaachna na wanawake wengi kwa kuwa sins uwezo wa nguvu za kiume.

Mimi zangu ni porno na nyeto tu, nilivyofika miaka 20 nikaanza kuona mabadiliko mengine nywele zikaanza kunyonyoka yaani nkaota kipara, mpaka sasa Nina miaka 24 Nina kiwaraza kikubwa tuu.

Kwa ufupi Nina demu ananipenda huu mwaka wa tatu niko naye na sijawahi kumlala? Najua nasaidiwa Ila nikitaka kubreakup naye analia Sana anadai ananipenda. Ila sijaaahi kumuaeka wazj juu ya tatizo langu na sitomueka cuz najua ndo atanizika mazima.

Yaani mpaka sasa madhara nlopata
1. Kiwaraza
2. Tatizo LA kumbukumbu
3. Sina uwezo wa kufikiri
4. Nahisi na matatizo kwenye tezi dume
5. Kichwa kinauma (severely)
6. Sina nguvu za mwilini (yaani nikicheza mpira najiona sina nguvu kabisa tofauti na mwanzo)

Huu ni waraka mrefu saana. ila pamoja na madhara yote hayo nimeshindwa kuacha punyeto na hii ni kutokana na kushindwa kuacha kuangalia porn movies. Na huu ujio wa smartphone nahisi kwa miaka minne ya smartphone nimepanga nyeto Mara tano ya miaka nane ya internet cafe.

[HASHTAG]#mademu[/HASHTAG] wazuri wote mashemeji nimekubali.
Nikipona siku moja nitafurahi Sana japo nshaona haiwezekani maana ndoto ya kupona nilonayo Ina miaka 8 sasa. Nina miaka 12 ya kupika nyeto na minane ya kutokudinda.
Ushakuwa hanithi kilichobaki utolewe tu hilo linda
 
Wanajf mniombee ni mwezi wa pili huu tokea nimeacha kupiga punyeto ila vishawishi ni vingi ila najitahidi nisirudie nimefuta file zoote kwenye simu yangu kama opera min, google, na vyingine nyingi ili kuindoa vishawishi vya kuzama kuangalia porn.
 
Wanajf mniombee ni mwezi wa pili huu tokea nimeacha kupiga punyeto ila vishawishi ni vingi ila najitahidi nisirudie nimefuta file zoote kwenye simu yangu kama opera min, google, na vyingine nyingi ili kuindoa vishawishi vya kuzama kuangalia porn.
Usiingie jukwaa la mahusiano utashawishika ukiona bint mzuri usirudie kumtazama mara mbili

Kikubwa ni kukaa mbali na porn
 
Uzuri wa nyeto ukishapiga utataman tena upige kilamara
Ila uzuri wapapuch ukipigaleo keshoukiitaka unaweza kosa so unakuta kwamwenz umepata hata marambili ilanyeto kwasiku hata Mara kumi ipo
 
best comment so far. inafariji, ila ngoja nikwambie mi nilishawahi kupumzika like a year na nikawa nafanya mazoezi tu na haikusaidia. ila siku niliyorudia nikarudia kwa kasi Sana. yaani sikupumzika
....Katika hali kama hii, in vizuri pia ukaenda Hosp kucheki Tezi Dume yako kama imekaa sawa ili kuhakikisha kuwa kila kitu kipo sawa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom