Historia yangu juu ya punyeto na ngono jinsi nilivyopata uraibu

Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe.

Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye mtandao ila sometimes zinakuwa ni stress zimezidi mapaka natamani mtu wa kuongea naye ila naona bora niposti humu Ili mjue madhara yake kwa MTU aliyedhurika NAyo na si wale wa kujiandikia tu.

Juzi mwenyewe nilikua nafanya survey ya kuangalia wavulana wenye miaka 13,14,15,16 jinsi walivyo maumbo yao, nilivyonotice nikajua Mimi nishajiua mapema tuu na sidhani Kama sikio langu LA kufa linasikia dawa.

Nilianza punyeto Nina miaka 13 na ndo mwaka huo huo nilioanza kuangalia filamu za ngono. Kiukweli zamani tulikua tunaenda internet cafe basi nikawa niko radhi nisitumie pesa ya shule niibane ili niende tu internet nikaangalie Picha hizo.

Si unajua tena Picha zile zinaturn emotions high na mm ndo nilikua na balehe na uume uliongezeka umbo ukawa mkubwa mkubwa. Baadae nikapata alternative ya punyeto. Nikawa nikitoka cafe nyeto yaani Mimi na punyeto tuu. nilibecome aware na madhara yake kutoka kwa watu Kama baada ya miaka mitatu ila kwa kuwa sikuyaona nilipuuza mi nikaendelea na mchezo tuu. Basi ikawa ndo hivo mimi na punyeto, punyeto na Mimi.

Sasa baada ya miaka minne yaani wakati na miaka 17 nikapata demu (my first gal) nikampenda tukapendana. Baada Kama ya wiki au wiki mbili nikaomba game mtoto akakubali kwenda chobingo heeeh goma likagoma kuinuka liliinuka mwanzo tu, baadae likalala like forever yaani sikumtia (akaniona msenge) nikakaa nikawaza Sana nikaanza mazoezi nikapata mcharuko wa mtaani nikaenda naye chobingo nikapiga goli mbili (my first sex).

Basi yule yule demu baada ya siku mbili nilivyorudi naye nikapige goma likanywea ndani ya kei kabla hata cjapiga LA kwanza. Roho ikauma Sana nikaanza kula mitishamba, nishaliwa Sana pesa. Ndipo nikaona bora niendelee tu na mchezo wangu huu nikawa nyeto na mimi, Mimi na nyeto. na hivi nilikua na simu nikawa naangalia kwenye simu hizo porno. ikafika kipindi kila siku usiku na asubuhi Mimi na nyeto na nisipopiga siku mbili tu naona mwaka kiukweli hapa ndo nilianza kujiua mazima.

Maana ilizidi kiwanago naweza nikasema kwa mwaka nilikua naweza nikajitoa mbegu kila siku. Hii tabia nikawa addicted Nayo mpaka basi. Sio kwamba sina mwanamke, kiukweli sina sura mbaya mimi ni mweupe na hensam kiasi changu na ukiniona huwezi ukanidhani. Mshaachna na wanawake wengi kwa kuwa sins uwezo wa nguvu za kiume.

Mimi zangu ni porno na nyeto tu, nilivyofika miaka 20 nikaanza kuona mabadiliko mengine nywele zikaanza kunyonyoka yaani nkaota kipara, mpaka sasa Nina miaka 24 Nina kiwaraza kikubwa tuu.

Kwa ufupi Nina demu ananipenda huu mwaka wa tatu niko naye na sijawahi kumlala? Najua nasaidiwa Ila nikitaka kubreakup naye analia Sana anadai ananipenda. Ila sijaaahi kumuaeka wazj juu ya tatizo langu na sitomueka cuz najua ndo atanizika mazima.

Yaani mpaka sasa madhara nlopata
1. Kiwaraza
2. Tatizo LA kumbukumbu
3. Sina uwezo wa kufikiri
4. Nahisi na matatizo kwenye tezi dume
5. Kichwa kinauma (severely)
6. Sina nguvu za mwilini (yaani nikicheza mpira najiona sina nguvu kabisa tofauti na mwanzo)

Huu ni waraka mrefu saana. ila pamoja na madhara yote hayo nimeshindwa kuacha punyeto na hii ni kutokana na kushindwa kuacha kuangalia porn movies. Na huu ujio wa smartphone nahisi kwa miaka minne ya smartphone nimepanga nyeto Mara tano ya miaka nane ya internet cafe.

[HASHTAG]#mademu[/HASHTAG] wazuri wote mashemeji nimekubali.
Nikipona siku moja nitafurahi Sana japo nshaona haiwezekani maana ndoto ya kupona nilonayo Ina miaka 8 sasa. Nina miaka 12 ya kupika nyeto na minane ya kutokudinda.
Sasa mkuu unajisifia ujinga kwa level yako unaona we ndo the best ila nikuhakikishie tu ww bado kuna wenyewe mpaka wameota sugu inategemeana we n bora ila kuliko nan??
Kikubwa mkuu kuwa na hofu na Mungu jipangie tu ahadi na Mungu kama unafanya kazi mwambie Mungu nikipiga punyeto nifukuzwe kazi au kama unatafuta kazi mwambie nikipiga punyeto sitapata kazi vivyo hivyo kama unasoma take it from me utaacha.
Hiyo ahadi nimbaya yanifungakazi nakumbika nilianzaga kujibutua ikafikiamahal nkaona nimauajitu nkaweka ahadi mpaka Leo naogopa kuvunja ahad
 
Minakushauli nduguyangu paka pilili mikono yako kila ukiisi kupiga nyeto kama pia utapiga uku unapilipili utakuwa..seemore
 
Kushindwa kugonga demu si kwa sababu ya nyeto. Bali hujiamini. Unatakiwa ijiamini kwanza. Hii case yako ya dushe kushindwa kusimama itakusumbua sana kama hautakuwa makini.

Iko hivi. Kwa kuwa ilikwisha kukutokea mara 1, 2, 3, au zaidi, unapokuwa na demu basi akili yako inashindwa kutawala mawazo na kuwa na hofu ya kwamba ile hali inaweza kijirudia. Na unaposhindwa kucontoal akili na mawazo ile hali inajirudia tena na ndio unazidi kujiweka kwenye mazingira magumu na mwisho unaona nyento ndio suluhisho.

Fanya yafuatayo.

Kunywa pombe kabla na wakati ukiwa na goma lako kwa ajili ya kufanya mapenzi. Pombe inasaidia kutoa uoga, na hofu. Inakupa stym inaongeza mwendo wa mzunguko wa damu. Rudia hili zoezi kila mara at last utakuwa umesolve hilo tatizo.
 
upara upo mkuu. we umegonga miaka 14 ila nakuguarantee hujapiga Kama Mimi. hata msomaji yoyote wa Uzi huu hakuna aliyefanya Kama Mimi. cjisifii, ila ni kweli.. yaani Mimi ni mfano wa maximum level of a person to masturbate. mi nshapigaga nyeto hadi bao tano per one night. tatu kawaida Sana. Mimi nyeto napiga kila Siku tena asubuhi na usiku. yaani ni guarantee
Duuu
 
Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe.

Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye mtandao ila sometimes zinakuwa ni stress zimezidi mapaka natamani mtu wa kuongea naye ila naona bora niposti humu Ili mjue madhara yake kwa MTU aliyedhurika NAyo na si wale wa kujiandikia tu.

Juzi mwenyewe nilikua nafanya survey ya kuangalia wavulana wenye miaka 13,14,15,16 jinsi walivyo maumbo yao, nilivyonotice nikajua Mimi nishajiua mapema tuu na sidhani Kama sikio langu LA kufa linasikia dawa.

Nilianza punyeto Nina miaka 13 na ndo mwaka huo huo nilioanza kuangalia filamu za ngono. Kiukweli zamani tulikua tunaenda internet cafe basi nikawa niko radhi nisitumie pesa ya shule niibane ili niende tu internet nikaangalie Picha hizo.

Si unajua tena Picha zile zinaturn emotions high na mm ndo nilikua na balehe na uume uliongezeka umbo ukawa mkubwa mkubwa. Baadae nikapata alternative ya punyeto. Nikawa nikitoka cafe nyeto yaani Mimi na punyeto tuu. nilibecome aware na madhara yake kutoka kwa watu Kama baada ya miaka mitatu ila kwa kuwa sikuyaona nilipuuza mi nikaendelea na mchezo tuu. Basi ikawa ndo hivo mimi na punyeto, punyeto na Mimi.

Sasa baada ya miaka minne yaani wakati na miaka 17 nikapata demu (my first gal) nikampenda tukapendana. Baada Kama ya wiki au wiki mbili nikaomba game mtoto akakubali kwenda chobingo heeeh goma likagoma kuinuka liliinuka mwanzo tu, baadae likalala like forever yaani sikumtia (akaniona msenge) nikakaa nikawaza Sana nikaanza mazoezi nikapata mcharuko wa mtaani nikaenda naye chobingo nikapiga goli mbili (my first sex).

Basi yule yule demu baada ya siku mbili nilivyorudi naye nikapige goma likanywea ndani ya kei kabla hata cjapiga LA kwanza. Roho ikauma Sana nikaanza kula mitishamba, nishaliwa Sana pesa. Ndipo nikaona bora niendelee tu na mchezo wangu huu nikawa nyeto na mimi, Mimi na nyeto. na hivi nilikua na simu nikawa naangalia kwenye simu hizo porno. ikafika kipindi kila siku usiku na asubuhi Mimi na nyeto na nisipopiga siku mbili tu naona mwaka kiukweli hapa ndo nilianza kujiua mazima.

Maana ilizidi kiwanago naweza nikasema kwa mwaka nilikua naweza nikajitoa mbegu kila siku. Hii tabia nikawa addicted Nayo mpaka basi. Sio kwamba sina mwanamke, kiukweli sina sura mbaya mimi ni mweupe na hensam kiasi changu na ukiniona huwezi ukanidhani. Mshaachna na wanawake wengi kwa kuwa sins uwezo wa nguvu za kiume.

Mimi zangu ni porno na nyeto tu, nilivyofika miaka 20 nikaanza kuona mabadiliko mengine nywele zikaanza kunyonyoka yaani nkaota kipara, mpaka sasa Nina miaka 24 Nina kiwaraza kikubwa tuu.

Kwa ufupi Nina demu ananipenda huu mwaka wa tatu niko naye na sijawahi kumlala? Najua nasaidiwa Ila nikitaka kubreakup naye analia Sana anadai ananipenda. Ila sijaaahi kumuaeka wazj juu ya tatizo langu na sitomueka cuz najua ndo atanizika mazima.

Yaani mpaka sasa madhara nlopata
1. Kiwaraza
2. Tatizo LA kumbukumbu
3. Sina uwezo wa kufikiri
4. Nahisi na matatizo kwenye tezi dume
5. Kichwa kinauma (severely)
6. Sina nguvu za mwilini (yaani nikicheza mpira najiona sina nguvu kabisa tofauti na mwanzo)

Huu ni waraka mrefu saana. ila pamoja na madhara yote hayo nimeshindwa kuacha punyeto na hii ni kutokana na kushindwa kuacha kuangalia porn movies. Na huu ujio wa smartphone nahisi kwa miaka minne ya smartphone nimepanga nyeto Mara tano ya miaka nane ya internet cafe.

[HASHTAG]#mademu[/HASHTAG] wazuri wote mashemeji nimekubali.
Nikipona siku moja nitafurahi Sana japo nshaona haiwezekani maana ndoto ya kupona nilonayo Ina miaka 8 sasa. Nina miaka 12 ya kupika nyeto na minane ya kutokudinda.
miaka minane ya kudinda yaani maana yake una miaka mianane mashine haisimami kabisa mzee yaani hata kustuka mkuu hata ukipiga nyeto??
 
wewe unatatizo la kisaikolojia mfano mimi mwenyewe hivo hivo nilipata demu mara ya kwanza mzigo ukakataa of coz nilijishangaa sana ikabidi niende hospitali mzee yule dakatri akaniashauri akanipa kidonge flani hivi kaniambaia ninywe kabla sijafanya baada ya hapo nikaenda mtoto akaja nikapiga mzigo mpaka basi toka siku hiyo hiyo hali haijaahi kutokea tena
 
best comment so far. inafariji, ila ngoja nikwambie mi nilishawahi kupumzika like a year na nikawa nafanya mazoezi tu na haikusaidia. ila siku niliyorudia nikarudia kwa kasi Sana. yaani sikupumzika
hujiamni hapo ndo shida ilipo toka experience ya kutokusimisha mzigo siku ya kwanza ndo ina kula akili yako...ushauri wangu wa kujenga confidence tafuta demu sawa tafuta kidonge kinaitwa cialis 10 mg kunywa kama saa moja kabla ya game kusiwe na kitu tumboni baada ya kunywaa kaa kama dk arobaini na tano kula then ingia kwenye game kuanzia hapo mawazo yataanza kukutoka ya kuwa kwamba huwezi gemu
 
Una nguvu za kupiga nyeto lakin hauna nguvu za kucheza ndani ya ****, hili ni tatizo lingine linajitegemea, mkuu usizingizie nyeto
 
Kuna wanafki watakuambia mrudie yesu, sasa sijajua hapa yesu atachukua uhusika gani
 
wewe unatatizo la kisaikolojia mfano mimi mwenyewe hivo hivo nilipata demu mara ya kwanza mzigo ukakataa of coz nilijishangaa sana ikabidi niende hospitali mzee yule dakatri akaniashauri akanipa kidonge flani hivi kaniambaia ninywe kabla sijafanya baada ya hapo nikaenda mtoto akaja nikapiga mzigo mpaka basi toka siku hiyo hiyo hali haijaahi kutokea tena
hosptali gani ulienda...?
 
hujiamni hapo ndo shida ilipo toka experience ya kutokusimisha mzigo siku ya kwanza ndo ina kula akili yako...ushauri wangu wa kujenga confidence tafuta demu sawa tafuta kidonge kinaitwa cialis 10 mg kunywa kama saa moja kabla ya game kusiwe na kitu tumboni baada ya kunywaa kaa kama dk arobaini na tano kula then ingia kwenye game kuanzia hapo mawazo yataanza kukutoka ya kuwa kwamba huwezi gemu
kinauzwa bei gani...hicho kidonge...je anakunywa kila mara au mara mojha tuu...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom