Historia yako ipo mbali kiasi gani kutoka hii Rais Dr. Magufuli

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Kila mtu ana historia yake na watu wako tofauti lakini kutokana na mfano vipimo vya utekelezaji wa process kwa kuzingatia principles au utaratibu uliowekwa kwa matakwa ya wengi na matokeo ya kazi kuwa mazuri katika eneo lolote lile iwe kwenye association ya wafanyakazi, wanataaluma, sherehe ya harusi, n.k. kuna kufanana au kutofanana baina ya mtu na mtu.

Je, wewe ukijilinganisha na Rais Dr. Magufuli kwa mujibu wa hii video (sifa zake toka shule mpaka kuwa President) huko mbali kwa kiasi gani kutoka kwenye sifa zake (deviation on the scale of 0 - 10)?

Jaribu kuwa rational na sio emotional wakati ukijibu swali langu!!

 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom