Na wale jamaa wanaodai eti ni wa kanisa katoliki wako wapi?
Kwanza kubali kwamba umo humo ktk hicho kitabu. Pili swala la kitaifa halihitaji kufungamanishwa na dini yoyote ili kuepusha faraka zisizo kuwa na msingi. TZ is a secular state my brother. Ya kanisa yaachiwe kanisa na ya siasa hivyo hivyo.
Na wewe si udai kuwa ni wa El Madrsatul Kombamboga, Kisarawe au shida yako ni nini?
Hata Zimbabwe na wao waliwahi kutumia melody hii
Sio waliwahi,
wanaitumia.
labda kama wamebadilisha juzi.
Sio waliwahi,
wanaitumia.
labda kama wamebadilisha juzi.
Nikupeni na Nyongeza juu ya nyimbo za taifa za nchi mbalimbali
1. Wimbo wa Taifa mfupi kuliko zote duniani ni WIMBO WA UGANDA has only 8 bars of music,
2.Wimbo wa Taifa mrefu kuliko zote duniani ni ule wa Greece wenye beti 158, ukifuatia wa Uruguay wenye 105 bars of music
3.Wimbo wa taifa uliodumu kwa muda mfupi duniani ni ule wa Somaliland ambao umedumu kwa siku 5 tu
4.Wimbo wa Taifa wa kale kabisa ni wa Japan ambao ulitungwa karne ya 9
5. Nchi isiyo na wimbo wa taifa ni CYPRUS na badala yake inatumia wimbo wa CREECE