Una uhakika na hayo unayosema? Au ndio yale yale ya kufikiria matatizo ya ndani ya nyumba yanaletwa na mchawi yuleeee huko nchi za mbali.
Mimi sio wale unaowafikiria kila siku kuwa wana akili hizo! Nenda kakitafute hicho kitabu ukiukosa huo wimbo ndio uamini hivyo. Hizi ni chembe chemchembe tu za mfumo kristo!
Sasa kama wimbo huo umo kwenye hicho kitabu, tatizo liko wapi? Hivi wimbo wa Taifa unaipendelea dini gani na kwa maneno gani? Kweli mwenye nacho ataongezewa!
Kwanza kubali kwamba umo humo ktk hicho kitabu. Pili swala la kitaifa halihitaji kufungamanishwa na dini yoyote ili kuepusha faraka zisizo kuwa na msingi. TZ is a secular state my brother. Ya kanisa yaachiwe kanisa na ya siasa hivyo hivyo.
Sasa kuna tatizo gani wimbo wa Taifa kuimbwa kanisani? Au sifikirii vizuri....ingekuwa kama wimbo wa kanisani ndio wimbo wa Taifa ningekuelewa. Hakuna mtu anayekatazwa kuimba wimbo wa Taifa kwenye ibada zake ukiwemo wewe mwenyewe...kama hutaki kuimba isiwe tabu kwa wanaotaka kufanya hivyo maana hawajavunja kifungu chochote cha sheria na wala hawajachanganya dini na siasa kama unavyotaka kutuaminisha wewe. Kwani wimbo wa Taifa ni wa mwana siasa gani? Kama haufai wimbo wa sasa tupe ulioutunga basi tujue moja...
naomba kufahamu ni nani aliyetunga wimbo wa taifa na je? Mbona ni kama unaendana na ule wa south africa?
Au nani ka mcopy mwenzake?
naomba kufahamu ni nani aliyetunga wimbo wa taifa na je? Mbona ni kama unaendana na ule wa south africa?
Au nani ka mcopy mwenzake?
Wimbo wa taifa ulitolewa kutoka katika kitabu cha kanisa katoliki kiitwacho:
''CHUO KIDOGO CHA SALA NA NYIMBO'' ukurasa wa 86.
Kwa faida zaidi dua ya kuliombea bunge upo katika kitabu hicho ukurasa wa 12.
In short watunzi ni wana peramiho.
Wimbo wa taifa na ule wa taifa wa Zambia ni copycat ya wimbo wa ANC, na sidhani kama watu wa peramiho walitunga wimbo wa ANC.
Wimbo wa taifa ulitolewa kutoka katika kitabu cha kanisa katoliki kiitwacho:
''CHUO KIDOGO CHA SALA NA NYIMBO'' ukurasa wa 86.
Kwa faida zaidi dua ya kuliombea bunge upo katika kitabu hicho ukurasa wa 12.
In short watunzi ni wana peramiho.
Hapo ndio umejimaliza kabisa kwa sababu aliyetunga wa South Africa ni methodist.
Tanzania ilipata uhuru 1961, Zambia 1964 na Africa Kusini 1994; hadithi ya kuku na yai.
Lakini Enoch Mankayi Sontonga ndiye inasemekana alianzisha ile ya South Africa. Huyu alikuwa ni choir master na methodist ambayo ni movement ya protestant christianity. Hapa cha msingi ni kwamba asili ya huu wimbo ni kanisani kwa ushahidi wote.
Kanisa..
Sasa mbona nimekupa mpaka source. Tatizo unataka uambiwe unayoyataka. Hapa tutakwambia what you need to hear not other wise boss!
Hivi Zanzibar hawana wambi wa taifa? je wimbo huo umetungwa na nani?, just curiosity