ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,904
- 3,850
Kakuzidi wewe?Sijawahi kuona mtu mpotoshaji km huyu jamii forum
Aliwahi kuleta uzi kumzushia Nyerere alikuwa msimamizi wa ndoa ya Kambona
Kakuzidi wewe?Sijawahi kuona mtu mpotoshaji km huyu jamii forum
Aliwahi kuleta uzi kumzushia Nyerere alikuwa msimamizi wa ndoa ya Kambona
Ulitaka awejeHuyu dada toka aanze ushabiki wa kisiasa amekua vingine kabisa,sio kama alivyokua mwanzo.
👊! 👏👏👏Hakujawahi kuwa na King of Uganda. Labda kama walimaanisha King of Buganda. Kumbuka hivyo ni vitu viwili tofauti.
Uwe unasoma na kuelewa kwanza kabla hujaamua kuhoji,nimesema "Amekua vingine sio kama alivyokua mwanzo" hakuna sehemu nimesema hayupo sawa mpaka nimpangie aweje,Ulitaka aweje
Tofauti ya guardian/mlezi sujui mwangalizi na Koloni /mkoloni nini??Britain ilikuwa guardian wa Uganda
Hii story ya kuwa chini ya uangalizi hii hainaga mashiko, kifupi TULITAWALIWA tu na hao waingereza. Hawana tofauti na wajeruman ni lugha nyepesi waluokua wanatumia mabeberu kufanya wepesi wa maneno na ku justify udhalimu waoTanzania tulitawaliwa na mjerumani baada ya mwingereza kushinda vita ndiyo tukawa chini ya uangalizi wa uingereza
Sijawahi kuona mtu mpotoshaji km huyu jamii forum
Aliwahi kuleta uzi kumzushia Nyerere alikuwa msimamizi wa ndoa ya Kambona
Haikuwahi kuwa koloni sijaelewa
Pamoja na kuinyemelea Uganda kwa muda mrefu lakini Muingereza alipewa dhamana ya kuwa mlezi tu wa Uganda. Tena kama Kabaka angekua na elimu na uelewa mpana angewabana zaidi .Sky Eclat rekebisha kidogo hapo kuwa Uganda haikuwahi kuwa Koloni kwani kwa Kauli yako hii Hadhi yako hapa Jamvini inaweza kuanza Kushuka. Kama Uganda haikuwahi kuwa Koloni je, Waingereza waliokuwa huko muda mwingi na Kenya wao walikuwa ni nani? Na usisahau kwamba hata Kihistoria tunaambiwa kwamba Waingereza walikuwa Koloni kubwa wa hizi nchi za Afrika Mashariki kupitia ile ' Scramble and Partition of East Africa ' hadi baadae wakawashinda nguvu waliokuwa Wakoloni wetu wa Kwanza Watanzania ambao ni Wajerumani kisha ndiyo Wao ( Waingereza ) wakawa Wakoloni wetu.
Pamoja na kuinyemelea Uganda kwa muda mrefu lakini Muingereza alipewa dhamana ya kuwa mlezi tu wa Uganda. Tena kama Kabaka angekua na elimu na uelewa mpana angewabana zaidi .
Pamoja na kutawala lakini Uingereza haikuwa huru kugawa ardhi ya Uganda na Tanganyika kwa white settlers kama ilivyofanya Zimbabwe na Kenya.
Za kuambiwa changanya na zako.Kwahiyo niiamini Historia yako hii hapa au ile ya Mwalimu wangu wa Kiganda Mr. Sekatawa na Mwenzie Madam Nankunda?
Za kuambiwa changanya na zako.
Waingereza walifanikiwa kumrubuni Kabaka mpaka akawa mfuasi wa Church of England na watoto wake kusomeshwa Cambridge
Dada yangu Sky , najua kwa Afrika Mashariki makoloni ambayo yalikuwa chini ya uangalizi ni matatu tu,Tanganyika chini ya Uingereza , Burundi na Rwanda chini Mbelgiji na hii yote baada ya Makoloni wetu Mjerumani kushindwa Vita 1918.Wenzetu Uganda na Kenya walikuwa na makoloni wao yule yule Mwingireza.KwZa kuambiwa changanya na zako.
Waingereza walifanikiwa kumrubuni Kabaka mpaka akawa mfuasi wa Church of England na watoto wake kusomeshwa Cambridge
Ni kweli kuwa Mwl Nyerere alikuwa mpambe wa Oscar Kambona. Wakati huo Nyerere alikuwa Waziri Kiongozi.Sijawahi kuona mtu mpotoshaji km huyu jamii forum
Aliwahi kuleta uzi kumzushia Nyerere alikuwa msimamizi wa ndoa ya Kambona