IMG_20210628_123806.jpg
 
Mmh moto au maradhi au nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hi taarifa siyo ya kweli,...niliipata UTV ya azamtv
 
Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo muda na funds kaka ila napambana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr hongera kwa michango yako, kwa ushauri tu ikiwa presentation kwa video itapendeza zaidi, haya mambo ni bora yafundishwe kwa vizazi vijavyo ili wajue wapi tulipotoka, ikiwa huko nyuma sana kabla ya kuwa na kumbukumbu mambo yametupita basi tusikubali vizazi vyetu vipitwe na hii historia adhimu ya soko la Kariakoo. Tatizo ninaloliona ni kwamba huenda huko mbele hilo soko likapoteza identity yake na wenye nacho wakafnya yao. Kwani Kariakoo imebadilika na inaendelea kubadilika huenda nalo soko limeandaliwa kubadilishwa.
Naona una nia ya kufanya documentary ya hii kazi ila muda na fund ndiyo changamoto, vyema, swala la muda ni la mtu binafsi lakini fund tunaweza changishana na kufanikisha lengo.
Ni mawazo yangu tu hayo.
 
Asante kwa mchango uliojaa mawazo mazuri mno...! Kwekweli kuna haja ya kufanya kitu kwakuwa ni muda sasa wachina wanaliwinda wakiwa na nia ya kujenga kubwa zaidi...sasa huwezi jua wakifanikiwa kwenye hili hiyo design mpya haitapoteza mwonekano wa asili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr hongera kwa michango yako, kwa ushauri tu ikiwa presentation kwa video itapendeza zaidi, haya mambo ni bora yafundishwe kwa vizazi vijavyo ili wajue wapi tulipotoka, ikiwa huko nyuma sana kabla ya kuwa na kumbukumbu mambo yametupita basi tusikubali vizazi vyetu vipitwe na hii historia adhimu ya soko la Kariakoo. Tatizo ninaloliona ni kwamba huenda huko mbele hilo soko likapoteza identity yake na wenye nacho wakafnya yao. Kwani Kariakoo imebadilika na inaendelea kubadilika huenda nalo soko limeandaliwa kubadilishwa.
Naona una nia ya kufanya documentary ya hii kazi ila muda na fund ndiyo changamoto, vyema, swala la muda ni la mtu binafsi lakini fund tunaweza changishana na kufanikisha lengo.
Ni mawazo yangu tu hayo.
Tuko pamoja. Lakini Mahqna anatuangusha kwani alitutamanisha kuwa anakusanya maandiko aliyoacha MUNGA TEHENAN. Baadaye kimya.
 
Similar Discussions

29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom