Historia ya "Shikamoo"

Tangu nianze kujitegemea siitumii hii salamu kwa watu walionizidi zaidi ya "Habari za saa hizi" au Mambo vipi? Habari yako/Zenu etc
 
Hiyo malihaba unatudanganya, marahaba, inatokana na neno marhaba kwa kiarabu inaamaanisha 'karibu' . hata kesho ukienda kwa mwarabu uarabuni ukagonga mlango atakwambia marhaba marhaba maanake karibu karibu, hiyo ndio asili ya marahaba ya kiswahili maanake karibu, ila shikamoo ndio labda unatuambia ukweli
 
Ndo maana hata ukimkamata mtoto kaiba mboga neno lake la kwanza huwa ni shikamoo daah
 
Kariakoo =Carrier corps (kulikuwa na kambi ya jeshi la waingereza)...wazaramo walishindwa kutamka
 
Back
Top Bottom