Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,819
- 9,171
Tangu nianze kujitegemea siitumii hii salamu kwa watu walionizidi zaidi ya "Habari za saa hizi" au Mambo vipi? Habari yako/Zenu etc
DuuShikamoo = Nipo chini ya miguu yako (Mimi ni mtumwa wako nifanye utakavyo).
Marhabaa = ewalah na iwe hivyo (unachosema ni sahihi/sawasawa)