Historia ya neno Msela na Baharia

Hiyo namba 6 naona kuna baharia ametoa na reference kabisa kutoka kwa baharia Mwana FA
Hivi Don Clericuzio wewe sio baharia e?
20190909_192225.png



 
Mkihitaji Walezi/Wadhamini wa chama chenu, basi msinisahau kunijumuisha pamoja na yule Mzee wa kugeuza watu misukule (Mshana Jr.)
 
Vyovyote utakavyo niita wewe..... ila hiyo ni moja ya kanuni yetu mabaharia tunapo kutana katika mazungumzo jinsia ya KE huruhusiwi kutia neno wewe nenda jikoni kapike.
Hakunaga baharia kimbele mbele,wewe ni jinsia ya kiume...sio baharia

Naomba usibishe
 
Vyovyote utakavyo niita wewe..... ila hiyo ni moja ya kanuni yetu mabaharia tunapo kutana katika mazungumzo jinsia ya KE huruhusiwi kutia neno wewe nenda jikoni kapike.

Moja ya kanuni yangu ni kufanya nachotaka kwa muda naotaka...hebu niendelee kubaki hapa
 
Baharia popote alipo lazima anajijua yeye ni baharia, haihitaji mpaka aelezwe sifa au vigezo vya ubaharia.
mimi siku ya kwanza nakutana na neno baharia, niliviona vigezo vyote vya kuitwa baharia ninavyo.
Mfano vigezo moja wapo vya ubaharia.
1- baharia kama baharia lazima uwe mzama uvinza
dekio la kudeki gereza la uvinza hahahahaha l
 
Baharia hatakiwa kula vitumbua, wala kitafuno chochote kile ..baharia anatakiwa anywe chali na kiporo cha juzi.

Baharia atakiwa kutandika kitanda, na kufanya usafi geto ni mpka awe na shoo
 
Back
Top Bottom