Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,945
- 12,509
Miaka ya nyuma watu walikuwa wakijiita masela kutokana na kuwaiga watu waliokuwa wamepanda meli na kwenda ulaya.
Sailor "msela" ni mfanyakazi wa meli ambaye sio ofisa au baharia wa kawaida.
Huyu ni mtu ambaye alikuwa amesafiri sana na meli kipindi hicho.
Ambapo walikuwa wakirudi Tanzania wanakuja na vitu vya thamani kama cheni,saa,viatu na nguo. Pia walipenda kuninginiza cheni na miondoko yao ilikuwa ni ya kutembea kwa kudunda kutokana na kuishi kwenye meli ambapo muda mwingi walikuwa wakivaa safety booty kubwa na ile hali ya chombo kuyumba kutokana na wimbi.
Kipindi cha sasa vijana wengi wanajiita "Baharia" hii ni kutokana na mabaharia kuwa watu wa kusafiri kila eneo, kusaidiana,kuweka kambi popote na kwenye mahusiano baharia kuwa na mahusiano ya kimapenzi kila sehemu atayofika ambapo kipindi cha nyuma walikuwa wakitumia msemo wa "New Port, New Wife".
Hii imepelekea sasa vijana wengi mtaani na kwenye kada mbalimbali kutumia neno la baharia au kujiita baharia.

Mfahamu Baharia wa meli, Idara za meli na nafasi za mabaharia katika meli
Baharia (Seafare) ni mfanyakazi yeyote katika meli. Katika meli kuna mabaharia ambao ni maofisa (Officers) na ambao si maofisa(Crew). Meli ina idara kuu 3 kulingana na mgawanyo wa majukumu na vitengo. 1.DECK DEPARTMENT (Kuongoza meli) 2.ENGINE DEPARTMENT (Wahandisi wa meli) 3.CATERING...
www.jamiiforums.com