Historia ya neno Msela na Baharia

Huu uzi utakuwa wa kuleta updates zote za mabaharia,naona mods wameunganisha uzi wangu


Once a baharia always a baharia
 
mabaharia kimewaka huku


Once a baharia always a baharia
FB_IMG_1568486543738.jpeg
 
Daaaaa baharia hii mikasa (maana ninayo zaidi ya mmoja) kimsingj inahitaji uzi wake wa kujitegemea baharia!
Ila kifupi, mm hawa single mazas ndio huwa mapigo yangu, si wasumbufu na huwa wana adabu, akikuachia huwa anakuachia cha ela yote baharia maana huwa anakuona ww kama mtetezi wake kihisia na kimahusiano!
We penda na kuwajali mtoto/watoto wake tu baharia.........ukifanya hivyo matunda utayaona!
Cha mwisho, single mazas huwa ni watamu sana baharia!
baharia anzisha uzi
 
Miaka ya nyuma watu walikuwa wakijiita masela kutokana na kuwaiga watu waliokuwa wamepanda meli na kwenda ulaya.

Sailor "msela" ni mfanyakazi wa meli ambaye sio ofisa au baharia wa kawaida.
Huyu ni mtu ambaye alikuwa amesafiri sana na meli kipindi hicho.

Ambapo walikuwa wakirudi Tanzania wanakuja na vitu vya thamani kama cheni,saa,viatu na nguo. Pia walipenda kuninginiza cheni na miondoko yao ilikuwa ni ya kutembea kwa kudunda kutokana na kuishi kwenye meli ambapo muda mwingi walikuwa wakivaa safety booty kubwa na ile hali ya chombo kuyumba kutokana na wimbi.

Kipindi cha sasa vijana wengi wanajiita "Baharia" hii ni kutokana na mabaharia kuwa watu wa kusafiri kila eneo, kusaidiana,kuweka kambi popote na kwenye mahusiano baharia kuwa na mahusiano ya kimapenzi kila sehemu atayofika ambapo kipindi cha nyuma walikuwa wakitumia msemo wa "New Port, New Wife".

Hii imepelekea sasa vijana wengi mtaani na kwenye kada mbalimbali kutumia neno la baharia au kujiita baharia.

View attachment 1165954
Imeelewek iyo
 
Back
Top Bottom