Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

kama ni wewe MKUU #THE_BOLD upo hewani mubashara JFrums narejea ukithibitisha kiduchu thread ile ya [HASHTAG]#september[/HASHTAG] 11
 
Lelommassy,
@zitto junior
Wakuu mahakama ya ICTR ilishathibitisha pasipo na shaka kuwa hakukuwa na mipango ya genocide na washitakiwa wote wakafutiwa mashitaka ya conspiracy to commit genocide. Kwa hiyo genocide dhidi ya watutsi haikupangwa and that is a FACT iliyothibitishwa na mahakama. labda kwa upande wa genocide against hutus kama na yenyewe ilipangwa au la bado hatujui kwa kuwa ICTR ilishinikizwa na marekani kutomshtaki kagame na wenzake ingawa prosecutor tayari alishaandaa mashtaka.
 
Jestkilla labda ulikuwa mdogo sana mwaka 1990 ndio maana haya mambo huyajuia vizuri au huenda hujakaa sana maziwa makuu..... Ila mmi nimeshakwambia kwanni naamini hii historia ya genocide inafichwa vitu vingi

1. Nimeishi kwenye kambi ya wakimbizi wa kihutu kule nairobi.... Walipewa apartments maeneo karibu na ruaraka county ya nairobi kabla ya kupelekwa uhamishoni cameroon na wengine belgium hivyo nilipata fursa ya kujifunza mengi kuhusu rwanda genocide

2. Nina family friends waliokimbia vita ile kutoka pande zote mbili za hutu na tutsi hivyo hao pia walinipa first hand data kabisa

3. Nimesoma Rwanda udogoni na nimeishi rubavu kule gisenyi kwa mzee mmoja anaitwa munyakazi mtutsi pure aliyekuwepo jeshini RPF wa kutoka nyiragongo DRC hivyo naelewa nachosema na kuwepo kwangu kule nilipata first hand data maana yye alikuwepo kwenye field ya mauaji kabisa

4. Nimesoma makerere (MUBS)- Nakawa walipojazwa watutsi kibao ''wanaojiita'' WANYANKOLE na WAHIMA ambapo nmekutana na watoto wengi tu wa active generals wa RPF na NRM wa kipindi cha genocide na hao pia ukaribu nao nilipata siri nyingi sana kuhusu what really happened in rwanda 1994-2003!! Kina General Elly tumwine binti yake nmesoma naye etc

5. Second congo war ile ya kagame kutaka kumtoa kabila mkubwa imenikutia bunia DRC kipindi cha vurugu la walendu vs wahima.... Kipindi cha Ntaganda akiwa kwenye Peak ya ukomandoo wake .... Huko nako niliona jinsi makambi mengi ya wahutu yalichomwa moto na askari wa RDF ya kagame.... Yaani kambi nyingi sana tukipita asbuhi tunakuta harufu ya maiti na uzuri UN ilikuja kutoa ripoti baadae japokuwa kagame anakana ili kwa macho yetu tulishuhudia hivyo sihitaji unifundishe kipi cha ukweli na kipi cha uongo kuhusiana na ukatili wakagame kwa wahutu hivyo napoona mambo yanapotoshwa lazima niumie maana najua machungu ya vita

Anyway ni mengi nimejifunza kupitia huko kote nlikopita ndio maana nimefikia hatua ya kupinga upotoshaji wenu kokote nitakapousikia
I assure you have something crutual to tell the world. Kama ulichokisema hapo ni kweli basi unajua mengi sana
 
Hana jipya angekua na jipya angeandika uzi wake humu kabak analia lial humu utadhan hum kuna mahakama inatoa haki
 
Lelommassy,
@zitto junior
Wakuu mahakama ya ICTR ilishathibitisha pasipo na shaka kuwa hakukuwa na mipango ya genocide na washitakiwa wote wakafutiwa mashitaka ya conspiracy to commit genocide. Kwa hiyo genocide dhidi ya watutsi haikupangwa and that is a FACT iliyothibitishwa na mahakama. labda kwa upande wa genocide against hutus kama na yenyewe ilipangwa au la bado hatujui kwa kuwa ICTR ilishinikizwa na marekani kutomshtaki kagame na wenzake ingawa prosecutor tayari alishaandaa mashtaka.
Wewe jamaa mkali wa siasa za maziwa makuu ulipotelea wapi mpaka watu wakaanzs speculation kbao,it's nice to have you back, karibu kwa michango kwny huu uzi
 
Great thinker umepotea sana jukwaani.... We ni moja kati ya experts wa hii topic naowafaham humu jukwaani kuna uzi mmoja alianzisha kibanga dah mlishuka facts na data tupu zilizoshiba kwakweli tulijifunza mengi sana.... Happy to have you back Great thinker
 
Asanteni wakuu ni majukumu tu.
 
mnapocommend kumbukeni kuwa kuna wanyarwanda wamejaa kibao hapa bongo ,na wanafanya kazi ya kupata information ya nani anazungumza nini kuhusu kagame na nani anatoa kauli kma za victoire ingabire za kuwa waliouawa sio watutsi tu bali na wahutu pia waliuawa.usije jikuta umeenda rwanda then ukakamatwa,pona yenu ni kuwa hamtumii majina halisi
 
Kwa hio unatushaurije
 
Lelommassy,
@zitto junior
Wakuu mahakama ya ICTR ilishathibitisha pasipo na shaka kuwa hakukuwa na mipango ya genocide na washitakiwa wote wakafutiwa mashitaka ya conspiracy to commit genocide. Kwa hiyo genocide dhidi ya watutsi haikupangwa and that is a FACT iliyothibitishwa na mahakama. labda kwa upande wa genocide against hutus kama na yenyewe ilipangwa au la bado hatujui kwa kuwa ICTR ilishinikizwa na marekani kutomshtaki kagame na wenzake ingawa prosecutor tayari alishaandaa mashtaka.
Lelommassy,
@zitto junior
Wakuu mahakama ya ICTR ilishathibitisha pasipo na shaka kuwa hakukuwa na mipango ya genocide na washitakiwa wote wakafutiwa mashitaka ya conspiracy to commit genocide. Kwa hiyo genocide dhidi ya watutsi haikupangwa and that is a FACT iliyothibitishwa na mahakama. labda kwa upande wa genocide against hutus kama na yenyewe ilipangwa au la bado hatujui kwa kuwa ICTR ilishinikizwa na marekani kutomshtaki kagame na wenzake ingawa prosecutor tayari alishaandaa mashtaka.
Ahsante kwa taarifa, kwanza kabisa nahitaji unielimishe role ya RTML station, Kangura newspaper and Akazu in contrast to your facts bila kusahau uwiano kati ya info uliyotupatia na ukweli kwamba kati ya watuhumiwa wote 61 were convicted, 33 still serving their sentences, 22 completed theirs and 6 died while serving. Tufahamishe!
 
Wengi wenu mnaskia Stori halafu Rwanda sasa hiv hakuna cha watus wala wahutu watu wanaishi kwa Amani tele subirini The bold amalize Stori ingekua hakuna Amani msingepanda Ndege za Rwandair kupelekwa ulaya na nchi mbali mbali za Kiafrica.Proudly Rwandese
binti wa kitutsi mimi Wala siangaigaki Na comment zako Bali hayo mapaja yako. Fikiria nimelala chali halafu unanikalia usoni ukiwa mtupu
 
Lelommassy,
@zitto junior
Wakuu mahakama ya ICTR ilishathibitisha pasipo na shaka kuwa hakukuwa na mipango ya genocide na washitakiwa wote wakafutiwa mashitaka ya conspiracy to commit genocide. Kwa hiyo genocide dhidi ya watutsi haikupangwa and that is a FACT iliyothibitishwa na mahakama. labda kwa upande wa genocide against hutus kama na yenyewe ilipangwa au la bado hatujui kwa kuwa ICTR ilishinikizwa na marekani kutomshtaki kagame na wenzake ingawa prosecutor tayari alishaandaa mashtaka.
Ahsante kwa taarifa, kwanza kabisa nahitaji unielimishe role ya RTML station, Kangura newspaper and Akazu in contrast to your facts bila kusahau uwiano kati ya info uliyotupatia na ukweli kwamba kati ya watuhumiwa wote 61 were convicted, 33 still serving their sentences, 22 completed theirs and 6 died while serving. Tufahamishe/tuelimishe.
 
Nimekuelewa kabisaa, waliokufa wengi ni wahutu na ni clear Rwanda Genocide, ila mimi bado nasikitishwa na alieanzisha vita hivi, je ni muhutu au mtusi? Yoyote alieanzisha vita hivi ilikua halali yeye kufa,,, labda kama kuna yalio nyuma ya pazia, lakin kama sababu ni hizo tulizoziskia za wivu dhidi ya watusi kua na akili, kupenda shule na kua civilized mapema basi wahutu pengine ndio binadamu wasio faa kabisaa kuwepo africa na ningesikia raha kama wote walioanzisha izo propaganda kuawawa.
Hizi sababu umeziskia wapi...

Haya ndo matokeo ya watu kama akia huyu Habib Aka the Bold. Wanaandika viatu vya uongo ambavyo implications yake ni watusti kujifanya wanaakili.

Kumbe zero kabisa
 
Back
Top Bottom