Historia ya matambiko sehemu ya (1)

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,006
Muanzishilish wa mitambiko ni Mungu, Mungu ni roho hapo mwanzon Mungu alitafuta njia ya kuwasiliana na mwanadamu, njia mojawapo ni damu Kwa sababu uhai unakaa kwenye damu, na kwenye damu ndo mahali pekee roho ukutania, kwahy Mungu akawapa maelekezo wanadamu wawe wanamtolea sadaka (kafara) ili aweze kukutana na roho ya mwanadamu waeze kuwasiliana

Na kutokana na mwanadamu alikua mtenda dhambi na dhambi huzaa uovu (udhaifu na uharibifu) ilimlazima atumie damu za wanyama kama sehemu ya kutubu na kuondoa uovu.

Pia damu za wanyama zilitumika kufunika matatizo yaliyosababishwa na laana Kwa mda fulani tu, inamaana kila baada ya mda kunakua na kumbukumbu ya dhambi, Kwa hy libid itolewe tena kila baada ya mda mfano inaweza ikawa kila baada ya mwaka

Ila shetan aliiga naye akawa anatumia kuwasiliana na wafuas wake kumbuka shetan naye ni roho, njia moyawapo ya kukutana na wafuas wake ni kutumia damu. Pia alitumia na yeye damu kama kibebeo cha kuwaondelea uovu walioko upande wake

Na pia damu za mafahali na wanadamu zikawa na udhaifu mmoja, haziondoi tatizo bali zinafunika kwa mda ndo maana kwenye matambiko lazima yafanyike kila baada ya mda fulani, hii ni kwasababu damu za wanyama zilikua zinafunika tatizo haziondoi. Hata wale wanafanya matambiko watanielewa kwanin lazima wafanye kila baada ya mda Fulani hii ndo sababu kubwa

Mimi sio mwandish mzuri jitahid usome hivyo hivyo tu
itaendelea.....
 
Back
Top Bottom