mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,421
- 19,750
Ndy nini kilifanya wapemba waikatae ASP? kwani chama kilichoratibu mapinduzi ni chama gani? Maana najuwa tangu enzi za sultani Pemba walikuwa na vyama vyao vya harakati na unguja walikuwa na vyama vyao ,,nini kilipelekea kujiita wazi wazi Pemba peoples part..na afro Shiraz part?Hazikuepo mkuu, na ASP ilikwishwa kataliwa Pemba, uchaguzi wa mwisho kabla ya uhuru iliishia kupata majimbo mawili tu tena ya ushindi mwembamba sana. na ndio mana baada ya mapinduzi wapemba walianza kutengwa kwenye uongozi wa ASP kichinichini mpaka yalipokuja kuwa ya dhahiri miaka ya 80.