Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,976
- 14,736
Uzi tayari
I think ni Soweto Massacre wakati wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika ya KusiniNi nani Huyo mtoto? Na kifo chake kimetokana na nini?
Hector Pieterson was born in 1963. He became the iconic image of the 1976 Soweto uprising in apartheid South Africa when a newspaper photograph by Sam Nzima - of the dying Hector being carried by a fellow student - was published around the world.
Njoo PM nikitumie makala yake.Ni nani Huyo mtoto? Na kifo chake kimetokana na nini?
Njoo PM nikitumie makala yake.
Hivi katika dunia hii kooote Amerika ,ulaya, Afrika na hata sia kuna binadamu hata mmoja tu haijui hiyo picha na kilitokea nini?Njoo PM nikitumie makala yake.
Utanitongoza wewe.Njoo PM nikitumie makala yake.
Sijui kutongoza labda wewe unitongoze kisha nikubali.Utanitongoza wewe.
Asante mkuu. Nilikuwa sijawahi iona.I think ni Soweto Massacre wakati wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika ya Kusini
Sawa jiandae.Sijui kutongoza labda wewe unitongoze kisha nikubali.
Nishakubali.Sawa jiandae.