Historia ya Joseph Kony

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Wana Jamvi kwema? Naomba kumfahamu Kamanda JOSEPH KONY. Historia yake mpaka sasa.
Ahsanteni
 
huyu jamaa kuna kipindi wakati tbc inaongozwa na tido muhando alikua anahojiwa kipindi cha asubuhi . yupo kama mtu mpole kumbe ndio kiongozi wa waasi
 
Yes. Jose ni mbabe wa kivita ambaye ni muasi wa serikali ya M7. Kwenye Miaka ya 2012-2016 alikuwa mtu hatari zaidi na alipata kuitesa seriaki ya M7....Mbabe wa kivita anayerecruit watoto...Kwa sasa nguvu yake imepungua baada ya M7 kumtwanga na kukimbilia misitu ya Congo DRC,...But bado yupo hai anajipanga, huyu jamaa alikuwa rafiki wa karibu sana na Kagame na walipanga kutumia njia ile ile ya kivita ili kuingia madarakani. mwenzake Kagame alifanikiwa lakini ilimchukua miaka mingi sana .....kwa Jose bado anajipanga na hajakata tamaa.....
 
Naomba full story mkuu, nataka makala inayomuelezea huyo jamaa
 
Google Mkuu... Kila kitu kiko wazi......
Joseph Rao Kony (pronounced [koɲ]; born likely 1961)[1] is the leader of the Lord's Resistance Army (LRA), a guerrilla group that formerly operated in Uganda. While initially purporting to fight against government oppression, the LRA allegedly turned against Kony's own supporters, supposedly to "purify" the Acholi people and turn Uganda into a theocracy.[2] Kony proclaims himself the spokesperson of God and a spirit medium and claims he is visited by a multinational host of 13 spirits, including a Chinese phantom.[2]Ideologically, the group is a syncretic mix of mysticism, Acholi nationalism, and Christian fundamentalism, and claims to be establishing a theocratic state based on the Ten Commandments and local Acholi tradition.[sources 1]
Kony has been accused by government entities of ordering the abduction of children to become child soldiers and sex slaves.[18] 66,000 children became soldiers, and 2 million people were displaced internally from 1986 to 2009.[19] Kony was indicted in 2005 for war crimes and crimes against humanity by the International Criminal Court (ICC) in The Hague, but he has evaded capture.[20] Kony has been subject to an Interpol Red Notice at the request of the ICC since 2006.[4] Since the Juba peace talks in 2006, the LRA no longer operate in Uganda. Sources claim that they are in the Democratic Republic of the Congo(DRC), the Central African Republic (CAR), or South Sudan.[21] In 2013, Kony was reported to be in poor health, and Michel Djotodia, president of the CAR, claimed he was negotiating with Kony to surrender.[22]
By April 2017, Kony was still at large, but his force was reported to have shrunk to approximately 100 soldiers, down from an estimated high of 3,000 in earlier years. Both the United States and Uganda ended the hunt for Kony and the LRA, believing that the LRA was no longer a big security risk to Uganda.[23]
 
Joseph Kony (alizaliwa mwaka 1961) ni kiongozi wa kundi la wanamgambo wa Lord's Resistance Army (LRA), kundi la kuvizia ambalo limejihusisha na kampeni za ghasia likiwa na azma ya kuanzisha
serikali inyoongozwa na viongozi wa dini nchini Uganda, kundi hili liandai limejengeka kwenye misingi ya Biblia ya Kikristo na amri kumi. Kundi la LRA ambalo lilijulikana kwa vitendo vyake dhidi ya
wenyeji wa Uganda Kaskazini, limeteka nyara
takribani watoto 30,000 na kusababisha watu milioni 1.6 kukimbia makazi yao tangu uasi wao ulipoanza mwaka 1986.

Joseph Kony alizaliwa mwaka 1961 katika kijiji cha Odek, kinachopatikana mashariki mwa Gulu kaskazini mwa Uganda, wazazi wake walikuwa wakulima.Aliwapenda wadogo zake lakini walipomkosea aliwaadhibu.

Katika ujana wake, Joseph Kony alifunzwa kuwa mganga wa kijiji na kakake mkubwa, Benon Okello, na kakake alipoaga alichukua kikamilifu wajibu wa kuwa mganga wa kijiji. Alipokosewa alipendela kupigana badala ya maelewano kwa njia ya mazungumzo. Akiwa shuleni alitaniwa kwa ukubwa wake na walimu walimpa wakati mgumu kwa sababu hakuonekana muerevu sana.

Babake alikuwa mteandakazi wa mungu katika kanisa katoliki na mamake alikuwa Muangilikana, Kony alikuwa alatare kwa miaka kadhaa. Aliacha
kwenda kanisani akiwa na umri wa karibu miaka 15.

Aliachaia masomo yake shule ya upili na alipata umaarufu mwezi wa Januari mwaka 1986, akiwa na miaka ishirini na kitu hivi. Kundi lake lilikuwa moja ya makundi makubwa yaliyoibuka huko Acholi wakati wa vuguvugu maarufu la Roho Mtakatifu lililoongozwa na Alice Auma (aka Lakwena). Hata hivyo kulikuwa na mgogoro miongoni mwa Wacholi walionung'unikia kupoteza uashawishi wao baada ya Rais Tito Okello aliyekuwa Muacholikupinduliwa na Yoweri Museveni na jeshi lake la National Resistance Army (NRA) wakati wa Vita vya msituni vya Uganda vilivyoisha mwaka 1986.

Mwanzoni, kundi la Kony's liliitwa United Holy Salvation Army (UHSA) na halikuchukiliwa kama
tisho na NRA.

Kufikia mwaka 1988, baada ya mkataba kati ya NRA na Uganda People's Democratic Army kuongeza makundi yake mengine ya wapiganaji pamoja na kusajili watoto kwa nguvu kulilifanya kundi la United Holy Salvation Army kuwa jeshi lililoogofya. Askarijeshi wake wengi walikuwa watoto.

Inakadiriwa kuwa amechukuwa watoto zaidi ya 104.000 wavulana na wasichana tangu LRA ilipoanza kupigana mwaka 1986. MMara nyingi aliua jamaa na majirani wa watoto hawa alipokuwa akiwateka na
kuwalazimisha wapigane katika jeshi lake. Kamanda wa kundi lilosalia la UPDA alikuwa Odong Latek, ambaye alifanikiwa katika kumshawishi Kony atumie mbinu za kisasa za kijeshi kinyume na majaribio ya awali ambayo yalihusu mashambulizi ya mslaba na kutumia maji matakatifu. Mbinu hii mpya ilifanikiwa na UHSA mapigano madgomadogo lakini waliweza kuwashinda NRA.

Baada ya ushindi huu NRA ililipiza kizazi kwa kudhoofisha kundi la Kony kisiasa na kampeni
iliyoitwa Oparation North.

Kufikia mwaka 1992 alilipa hilo kundi jiypa la Muungano wa Jeshi la Kikristo la Demokrasia na ni
katika wakati huu ndiyo waliowateka nyara wasichana 44 kutoka shule za upili za Sacred Heart
Secondary na St. Mary's Girls School Operation
North iliharibu kabisa kile kingekuwa wanamugambo wa Lord's Resistance Army, hata hivyo, ingawa idadi yao ilipungua kutoka maelfu hadi mamia waliendelea kuwavamia raia na washirika wa NRA. Mazungumzo ya Bigombe ya mwaka 1993 yalifunua mengi kumhusu Joseph Kony.

Betty Bigombe alikumbuka kwamba mara ya kwanza alikutana na Kony na wafuasi wake walitumia mafuta kujikinga na risasi na pepo mbaya. Katika barua ilyohusu mazungumzo ya baadaye Kony pia alieleza kwamba sharti angetafuuta ushauri kutoka kwa Roho Mtakatifu. Mazungumzo yalipoanza walisisitiza kwamba viongozi wa dini washirikishwe na walifungua mkutano kwa maombi yaliongozwa na Mkurugenzi wa Masuala ya Dini wa LRA Bw. Jenaro Bongoni. Hatimaye katika mazungumzo ya amani ya mwaka 1994 Kony aliingia huku wanaume waliovaa majoho wakiwa mbele yake wakimyumyizia maji takatifu.

Juhudi nyingi za kimataifa za kuleta amani na
kukomesha utekaji nyara wa watoto na Kony na
Wanamugambo wa kundi lake la Lord's Resistance
Army zilifanyika kati ya 1996 na 2001. Juhudi zote
zilishindwa kumaliza utekaji nyara wa watoto,
ubakaji, askari-jeshi watoto mauji ya raia ikiwemo usambuliaji wa kambi za wakimbizi. Baada ya shambulizi la tarehe 11 Septemba Marekani ilitangaza rasmi wanamugambo wa Lord's Resistance Army kuwa kundi la kigaidi na Joseph Kony kuwa gaidi. Josph Kony alifikiriwa kuwa mtu mwenye pepo; amesawiriwa kama ama kma Masihi au shetani.

Alizuru mara kadhaa milima ya Ato nchini
Uganmda. Inadaiwa kuwa angekwea hadi kileleni
cha milima na kulala huko kwenye jua kali kwa
siku kadhaa. Angefunikwa na kundi la kumbikumbi wekundu ambao waliing'ata ngozi yake kwa undani. Mafuta kutoka mti uitwao Yao ilipakwa mwilini mwake. Kisha aliingia kwenye pango na kushinda huko pekee kwa majuma kadhaa.

Alichowaamuru watoto wafanye kilikuwa kitu cha
upuzi- aliwaambia kuwa iwapo wangechora mslaba kwenye vifua vyao na mafuta wangekingwa kutoka kutoka kwa risasi. Kony anasisitiza kwamba wanamugambo wa Lord's Resistance Army wanapigania Amri Kumi.

"Ndiyo, tunapigania Amri Kumi," Je, ni vibbaya? siyo kukiuka haki za binadamu. Na amri haikutolewa na Joseph. Haikutolewa na LRA. la, amri hiyo ilitolewa na Mungu.

Tarehe 6 Oktoba 2005 Mahaka ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ilitoa vibali vya kukamtwa kwa wanamugambo watano wa kundi la Lord's Resistance Amy kwa uhalifu dhidi ya haki za binadamu kufuatia kufunguliwa mashitaka.

Siku iliyofuata waziri wa ulinzi wa Uganda Amama Mbabazi alidokeza kuwa Joseph Kony, naibu wake
Vincent Otti na makamanda wa Raska Lukwiya,
Okot Odiambo na Dominic Ongwen walikuwa
miongoni mwa wale ambao vibali vyao vya kukamtwa vilitolewa. Kwa mujibu wa msemaji wa
jeshi, jeshi la Uganda lilimua Lukwiya tarehe 12 Agosti 2006.

Juma moja baadaye, tarehe 13 Oktoba, Mwendesha Mashitaka Mkuu wa ICC Luis Moreno Ocampo alitoa maelezo kuhusu mashitaka yaliyomkabili Kony. Kuna jumla ya mashtaka 33, 12 yakiwa ni uhalifu dhidi ya haki za binadamu, ambayo ni pamoja na mauaji, utumwa, utumwa wa ngono na ubakaji. Kuna mashitaka mengine 21 ya uhalifu wa kivita ambayo ni pamoja na mauaji, ukatili kwa raia, ushambulizi wa kimakusudi kwa raia, uporaji mali, ubakaji na kusajili watoto kwa nguvu katika vikosi vya waasi. Ocampo alisema kwamba "Kony aliwateka wasichana kuwatoa kama zawadi kwa makamanda wake.

Jeshi la Uganda limejaribu kumua Kony kwa
shutuma za Upinzani . Tarehe 31 Julai 2006, Kony alikutana na viongozi kadhaa kitamaduni, kisiasa, na viongozi wa dini kutoka Kaskazini mwa Uganda mafichoni mwake katika msitu wa kondo kuzungumzia vita.

Siku iliyofuata, 1 Agosti, alivuka mpaka na kuingia Sudan kuzungumza na Makamu wa Rais wa Kusini
mwa Sudan Riek Machar. Baadaye Kony aliwaambia waandishi wa habari kwamba hakuwa tayari kufika mbele ya mahakama ya ICC kujibu mashitaka kwa kuwa hajafanya lolote baya. Tarehe 12 Novemba 2006 Kony alikutana na Jan Egeland, Umoja naibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura. Kony aliambia shirika la habari la Reuters: "Hatuna watoto wowote. tunawapiganaji tu.

Tarehe 28 Agosti mwaka 2008, wizara ya fedha ya
Marekani ilimuorodhesha Kony miongoni mwa
kundi la "magaidi wa kipekee duniani" kundi
ambalo huwa na adhabu za kifedha na adhabu.
Haijulikani iwapo Kony ana miliki au hamilki
rasilimali yoyote amabyo inaathiriwa na maelezo yaliyotolewa. 25 Desemba 2008, kwa mujibu wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, waasi wa Lord's Resistance Army (LRA) waliwaua watu 189 na kuteka nyara watoto 120 wakati wa sherehe iliyofadhiliwa na Kanisa Katoliki huko Faradje, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo . Desemba 2008, jeshi la Kongo, pamoja na vikosi
vya jeshi la Uganda na Sudan, vilivamia waasi wa LRA wakiwa na lengo la kuwanyang'anya silaha
waasi wa LRA.

Wkipedia
 
Mkuu hapo hata sikuelewi yani
 
Pamoja na uovu wote huo dhidi ya utu anabaki kuwa mwanamgambo muasi si gaidi!!!
Pamoja na historia hiyo nzuri ukwelu unaofichwa ni: Joseph Kony alitengenezwa na akafadhiliwa na bwana zake haohao hadi pale miradi ya kumwondoa Garang na kugawanywa Sudan ilipokamilika na Kony akapotelea msituni!!! Kony huyuhuyu aliyekuwa akivamia Kitgum yenye barrcks kubwa ya kijeshi yenye askari wabobezi huku akiwa na askari wasioidi hamsini mchana kweupee... akifanya mauaji na ukatili dhidi ya utu kisha anatoweka huku akifuatiliwa na helicopter gunship zisizomuona!!!
This is Africa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom