Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,376
mwaka 1903 mfungwa william west alifikishwa kwenye gereza la LEAVENWORTH ,alipofika kwa mtunza kumbukumbu akaelezwa alishafungwa kwenye hilo gereza william alikataa kata kata akasema ni mara yake ya kwanza hapo,mtunza kumbukumbu akasisitiza amewahi mwona,ikabidi apekue mafaili yake na ndipo alipomwonyesha MUGSHOT au passport size zenye picha ya william west,william akastuka kuona ile picha akasema hajawahi fungwa hili nikosa lake la kwanza...baadae ikaja kugundulika kuwa kwenye gereza hilo hilo kulikua na mtu anaitwa william west ambaye alikua pacha wa huyu william west ikumbukwe wakati huo means yakutambua wahalifu iliitwa Bertillion measurements ambapo walipima physical appearence kwahiyo ilikua ngumu kwa kesi ya william west mana hawa wawili mapacha na walikua hawajuani....mapacha william west na mwenzake ndo chanzo cha kugunduliwa matumizi ya alama za mikono au FINGERPRINTS in our modern day...
Naruhusu kukosolewa na kurekebishwa kwa uzi huu
Naruhusu kukosolewa na kurekebishwa kwa uzi huu