Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,006
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Ukiitafari hizi statement mbili zimebeba maana kubwa sana, kwanza kabisa tufocus kwenye mstar wa pili, "Ukiwa"maana yake kulikua na kitu ila hakipo tena, na mara yingi ukiwa uko katika maeneo ya msiba, au mtu mnayependana sana mkatengana
Hii inaonyesha kwamba kabla ya huo ukiwa kulikua na maisha mengine tofaut na haya. Wengi wetu tunafahamu shetan alikua ni malaika wa Mungu kabla hajaasi,
Na kipind hiki ndicho dinosaurs walikua wakiishi dunia, na waliweza kuish Kwa sababu hakukua na mwanadamu kipind hicho duniani, Kwa sababu wengi tunafahamu wanadamu ni kikwazo hata Leo Kwa baadhi ya wanyama kupungua kama tembo na faru.
Shetan alijaribu kuleta mapinduzi na vilitokea vita katika dunia ya kwanza, na baada ya shetan kushindwa, kila kitu kilivurugika na ndo ikawa mwisho wa dinasours duniani.
Lakin wana-science wamekua wakituletea theory zinazoelezea dinasours ambazo sizipingi ila inakua ni ngumu sana kuzielewa. Hii theory yangu naiona ina uhalisia japokuwa silazimishi watu waiamini