Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Wakuu,

Katika pita pita zangu nikakutana na hii kitu inayoitwa BITCOIN. Kwamba unaweka hela afu kila siku unakuwa unapata angalau asilimia kumi ya hela uloweka. Kabla ya kuweka hela yangu naomba kwa mwenye kujua anijibu maswali haya:
1. Haina chembechembe zozote za utapeli?
2. Ukishaweka hela yako inaanza kuzaa baada ya mda gani?
3. Unaruhusiwa kutoa kila siku hela inayoingia kama faida?

kUNA SCAMS NA LEGIT WEBSITES.......90%+ ni scams......ila ukipatia ni biashara nzuri sana...mi nilianza nayo 2017...nimepigwa pigwa lakini nilipoipatia sasa si haba
NB: 1 BITCOIN = 21M kwa leo
 
Shukran mkuu, ila hii nilisha achana nayo
 
Mkuu nataka kununua bitcoin sijui kwa bongo hapa nitapata wapi cash ninayo na vipi nikitaka kuuza pia cash napataje?
 
Mkuu, kuna sehem nyingi za kununua Bitcoins, unaweza kununua kwa kutumia debit card yako, lakini mara nyingi ukitumia credit card au debit card inachukua siku nyingi mpaka uje kupata bitcoins zako, njia rahisi kama unataka kununua ingia localbitcoins.com utakuta wauzaji wengi, bei tofauti na njia mbalimbali za malipo, mimi huwa nalipia kwa westernunion ndani ya dakika 20 muuzaji ananipatia coins zangu. Bei inabadilika siku hadi siku, juzi ilipanda mpaka $1300 kwa BTC moja, leo imesimamia $950 kwa hiyo unaponunua kuwa mwangalifu, nunua siku unapoona imeshuka kama hivi, mimi huwa nanunua wakati wa crisis na kuuza inapopanda.
Mkuu unaweza kutupa ujuzi kidogo wa kufungua account localbitcoin,

CC: CYBERTEQ , LATVIA
 
Mkuu, kuna sehem nyingi za kununua Bitcoins, unaweza kununua kwa kutumia debit card yako, lakini mara nyingi ukitumia credit card au debit card inachukua siku nyingi mpaka uje kupata bitcoins zako, njia rahisi kama unataka kununua ingia localbitcoins.com utakuta wauzaji wengi, bei tofauti na njia mbalimbali za malipo, mimi huwa nalipia kwa westernunion ndani ya dakika 20 muuzaji ananipatia coins zangu. Bei inabadilika siku hadi siku, juzi ilipanda mpaka $1300 kwa BTC moja, leo imesimamia $950 kwa hiyo unaponunua kuwa mwangalifu, nunua siku unapoona imeshuka kama hivi, mimi huwa nanunua wakati wa crisis na kuuza inapopanda.
Mkuu yaani wakati Bitcoin inauzwa hio Bei ulikuwepo .

Kuna vinega humu daily nakwambia nunueni coin muhold ona Sasa Bei ya Bitcoin Leo 2022 ....

Mimi nitajuta Sana kama 2040 nitakuwa maskini wakati fursa ya coin saiz naijua kabisa ....
 
Mkuu nataka kununua bitcoin sijui kwa bongo hapa nitapata wapi cash ninayo na vipi nikitaka kuuza pia cash napataje?
Boss hii ni kama unavyofungua account yako ya facebook au ulivyo jiunga Jf.Ni rahisi sana kama kuhesabu 1, 2,3. Tumia link hii kusajili account yako ndani dakika chache sana na urahisi

Back
Top Bottom