HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

PPM

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
838
228
Anna Makinda amechaguliwa kwa Kura 221
Anna Abdala 14
Kate Kamba 15
 
Kama ndio hivyo inaonekana mpango fulani utatimia...manake nahisi alisimia kubwa ya hawa waliofanya maamuzi haya ni wapiga kura wa kuteua jina moja la kusonga mbele na wapiga kura ya uspika, usisahau na asilimia kubwa ya wabunge wa kuteuliwa ni vibaraka wao!!!
 
hakuna marefu yasiyo na ncha, uwezo wa anna makinda tunaujua, haiba yake tunaijua kwa hiyo hakuna jipya, uwezo wake hautishi. hata hivyo hatujui mchakato wenyewe ulivyokwenda huko ndani na ccm imegawanyika vipande vipande, si haba Mabere Marando akaibuka kidedea uspika.

haya yote tisa kumi, wewe na mimi tuna wajibu wa kufanya kwa ajili ya Tanzania ya kesho. kwa sasa elimu ya uraia zaidi. Mpaka watoto wachanga waelezwe ubaya wa mafisadi.
 
Wewe mwongo kwenye CC wajumbe wako 30 tu wewe hao 250 umewato awapi?

Shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Angalia akili zako zinazokutuma, haujui hata kinachoendelea nchi hii leo, CC iliisha jana hiyo ni kura za wabunge wa ccm zilizofanyika leo DOM
 
Wewe mwongo kwenye CC wajumbe wako 30 tu wewe hao 250 umewato awapi?

Shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Punguza hasira,wewe ulitakiwa uhoji source ya information yake.
Ila nijuavyo leo wabunge wote wa CCM walikaa kuchagua jina moja kati ya matatu la kugombea Uspika.
 
Huyu mama hafai kiduchu. Shame. Kwanza hua anakandamiza Upinzani bila point yamaana. She is rude and not even a woman anyway... so the record of never having had a woman still stands..lol
 
Angalia akili zako zinazokutuma, haujui hata kinachoendelea nchi hii leo, CC iliisha jana hiyo ni kura za wabunge wa ccm zilizofanyika leo DOM

Do samahani PPM nilidhani unaongelea majibu ya jana, ila heading yako ingesomeka "Anna makinda ashinda uteuzi wa uspika kupitia chama cha mapinduzi. but sorry
 
Taarifa kutoka tbc inasema ameshinda kwa kura 200+ kuwania uspika wa bunge akifuatiwa na KATE KAMBA
 
haya yote tisa kumi, wewe na mimi tuna wajibu wa kufanya kwa ajili ya Tanzania ya kesho. kwa sasa elimu ya uraia zaidi. Mpaka watoto wachanga waelezwe ubaya wa mafisadi.

Dr George it's true ni kweli tuangalie kesho na kutoa elimu ya uraia ili ifikapo 2015 nchi iongozwe na watu wenye nia njema. Leo hii ukiwatajia watoto wangu CCM wanasikia kichefuchefu. Hiki Chama kitakufa na kitasahauliwa milele
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom