Historia ni Mwalimu Mzuri: Siku Profesa Kighoma Ali Malima alipoondoka CCM...

Ndugu zangu,

Nimekumbushia hilo mara nyingi, kwamba historia ni Mwalimu Mzuri. Hata kama wengine mlikuwa hamjazaliwa, lakini, hakuna marufuku ya kusoma historia.

Tunapochambua haya yanayotokea sasa wengine wetu tunaitazama historia.

Ni ukweli wa kihistoria, kuwa CCM ni zaidi ya Chama, ni taasisi kubwa yenye kugusa maisha ya kila mmoja wetu, hata akiwa nje ya CCM.

Sio tu kwa kusoma historia, nina bahati ya kushuhudia miongo minne ya matukio makubwa ya kisiasa katika nchi hii nikiwa na ufahamu na kiu ya kujifunza.

Nimesoma matukio ya TANU kutikiswa kisiasa, zama za Mwalimu. Nimeshuhudia matukio ya CCM kutikiswa kisiasa, zama za Mzee Mwinyi. Vivyo hivyo kwenye zama za Mkapa na juzi tu Jakaya Kikwete.

Katika wote waliohama CCM na waliotarajiwa wangeitikisa CCM ikayumba sana ni Profesa Kighoma Ali Malima. Huyu alikuwa Waziri mwenye dhamana ya Hazina. Alikuwa msomi na mwenye ushawishi ndani ya Chama chake. Haya ya sasa, ingelikuwa enzi zile, Lazaro Nyalandu ingelikuwa ni jina maarufu kwenye vijiwe vya mtaani tu, wala si jina la kutisha ndani ya CCM.

Kwenye Daily News, Julai 17, 1995, iliripotiwa kama ifuatavyo:
" Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Viwanda, Kighoma Ali Malima, ameondoka CCM na kujiunga na Chama chake kipya cha National Reconstruction Alliance ( NRA).

Malima alitangaza hayo kwenye mkutano mjini Tabora, na anatarajiwa kuwa mgombea Urais kupitia NRA." - Daily News, Julai 17, 1995.

Siku ya pili yake, Julai 18, 1995, Kwenye Daily News, Katibu Mwenezi wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru alilipotiwa akitoa kauli juu ya hatua hiyo ya Malima, kwa kutamka.

" Alichofanya Malima hakina maana yeyote kwa CCM!"

Ni nani anayejiuliza leo mchango wa Mzee Kingunge kwenye kutufikisha hapa?

Naam, historia ni Mwalimu Mzuri.

Maggid Mjengwa.

0688 37 36 52 ( Whatsapp)
Huwezi kupambana na ccm hata siku moja, hata wanaohama wanajua
 
Hahahaaa nimecheka sana nimeishia paragrafu ya tatu tu, kumbe alitoka CCM akahamia CCM, ndio maana haikutikiswa.
 
Sikuona haja ya wewe kuweka namba ya simu hapa.
Hatuishi kwa mazoea. Ndio maana watu wanathubutu kuhama deile. Hata kama chama taasisi kubwa na inayomgusa kila mtu.
 
Mwaka 1995??

Reference ya wapi hiyo comrade?

Mwaka huo hata simu za mkononi hazikuwepo
 
mmmh nimejaribu kurudia kusoma ila bado sijaelewa lengo hasa la andiko lako ni nini!

anyway labda uelewa wangu mdogo
Ni kweli ufahamu wako ni mdogo, mtoa mada ana maanisha Nyalandu ni mtu mdogo sana katika ustawi wa CCM. Tangu miaka hiyo wanachama na vigogo wazito wameondoka lakini haijatikisika, kwa mfano Kigoma Malima awamu ya pili, Sumaye, Lowasa, na Kingunge Ngombale Mwiru awamu ya tatu, sasa huyo Nyalandu haitkuwa ajabu yoyote kuondoka kwake.
 
Naamini ana impact na ndio maana mnahangaika sana kufungua threads za "kusema hana impact"

Mtu ambaye hana impact huwa anapuuzwa.

Leo Maggid katoka porini kaja huku kwasababu ya Nyalandu, asingekuwa Nyalandu tusingemuona hapa!

Acheni kujipa Tumaini fake, Chama lenu linawafia.

mkuu jionee huruma!! mimi sio ccm na kwa akili zako ndogo unajua kila anayekuwa kinyume na cdm ni ccm...jionee huruma

kama unaona nyalandu ana impact ile ya lowassa, mrema, malima, mtafute mama yako mwambie mama "nisamehe kwa kubeba mimba yangu"
 
Thadei Ole Mushi..,

Kwa kweli ninaichukia mno CCM kwa matendo ya watu wake.., lakini walau CCM ingepata makada 5 tuu kama wewe wa kuisemea, labda hiki chama kingeishi tena miaka 10 ijayo....

Kuna Watanzania bado wanafikiri CCM bado ni chama imara sanaaa.., Kuna watu pia wanaamini kuwa chama hiki ndio kile kile cha WAKULIMA na WAFANYAKAZI..!
Maweee...

Hiki chama kimegeuka kuwa chama cha DOLA sasa, kinamilikiwa na kutunzwa na DOLA...!
Wana CCM na viongozi wao sasa hivi hawaijui siasa..., hawana uwezo wa kujenga hoja, hawajielimishi, na kwa hiyo hawawezi hata kujibu hoja za wananchi na wanasiasa wachanga wa vyama vya upinzani.. kama kina Zitto Kabwe, Mnyika, Lema, Mch Msigwa nk..

Chama hiki kidhoofu kimepata mbeleko toka kwa wanasiasa, na makada wao wakakamavu wanaotumikia JWTZ, TISS, POLISI, TAKUKURU, MAHAKAMA na WIZARA YA HABARI (Maelezo)

Makada hawa mahiri wanaovaa uniforms ndio wanaokimbizana na kujitahidi kujibu, na kuzima hoja za kisiasa za wanasiasa wa upinzani..
Hata hawa nao (UNIFORMED POLITICIANS), pia wanaelekea kuelemewa sana na wanasiasa makamanda wa vyama vya UPINZANI, kiasi kwamba wameamua kutumia njia zile walizofundishwa makambini kujibu hoja za kisiasa. .

Hii si siri tena kuwa hoja za KIUCHUMI (mf ZZK) sasa majibu yake yanatolewa Polisi..., hoja za KISHERIA..., majibu yake yanaweza kuwa SMG au kuvunjiwa ofisi za wanasheria na sio Mahakamani tena...
Na ukiwa raia..., basi unaweza kujikuta umefungiwa jiwe kuu na kutoswa ktk kilindi cha mto ama bahari...

Kwa hali kama hii niliyoieleza hapa kwa kifupi.., hebu nipingeni kwa HOJA kuwa CCM si chama kilichokufa siku nyingi..?!
 
Ninasikitika sana nimaposoma maoni ya mwandiahi mashuhuri kama Maggid lakn akiandika kama ameanza uandishi juzi.Ama kwel kuna watu maslahi yao yanapokuwa mbele huandika bila kuangalia je upande mwingine ambao hakubaliani nao ameyaweka maoni yao katika mizani.Kipind cha Malima na kipindi cha Nyalandu ni vipindi viwil togauti na hata hali ya kisiasa ilikiwa ni tofauti na utawala pia ulikiwa tofauti.Maggid rudi kwenye drawing boars tuombe radhi wana JF
 
mmmh nimejaribu kurudia kusoma ila bado sijaelewa lengo hasa la andiko lako ni nini!

anyway labda uelewa wangu mdogo
Manaake ccm itaendelea kuwa na nguvu licha ya kuondokewa na wanachama wake nguli. Maana ni kikubwa kuliko wanachama. Ni kwa mtazamo wa mtoa uzi. Ingawa naona amesahau kuwa nyakati hubadilika na historia haijawahi kuzuia kutokea kwa mabadiliko!
 
Ni kweli ufahamu wako ni mdogo, mtoa mada ana maanisha Nyalandu ni mtu mdogo sana katika ustawi wa CCM. Tangu miaka hiyo wanachama na vigogo wazito wameondoka lakini haijatikisika, kwa mfano Kigoma Malima awamu ya pili, Sumaye, Lowasa, na Kingunge Ngombale Mwiru awamu ya tatu, sasa huyo Nyalandu haitkuwa ajabu yoyote kuondoka kwake.
Udogo na ukubwa wa MTU unapima kwa vigezo vipi?
Ni sahihi kulinganisha waliohama kipindi cha nyerere na Sasa?
 
Ndugu zangu,

Nimekumbushia hilo mara nyingi, kwamba historia ni Mwalimu Mzuri. Hata kama wengine mlikuwa hamjazaliwa, lakini, hakuna marufuku ya kusoma historia.

Tunapochambua haya yanayotokea sasa wengine wetu tunaitazama historia.

Ni ukweli wa kihistoria, kuwa CCM ni zaidi ya Chama, ni taasisi kubwa yenye kugusa maisha ya kila mmoja wetu, hata akiwa nje ya CCM.

Sio tu kwa kusoma historia, nina bahati ya kushuhudia miongo minne ya matukio makubwa ya kisiasa katika nchi hii nikiwa na ufahamu na kiu ya kujifunza.

Nimesoma matukio ya TANU kutikiswa kisiasa, zama za Mwalimu. Nimeshuhudia matukio ya CCM kutikiswa kisiasa, zama za Mzee Mwinyi. Vivyo hivyo kwenye zama za Mkapa na juzi tu Jakaya Kikwete.

Katika wote waliohama CCM na waliotarajiwa wangeitikisa CCM ikayumba sana ni Profesa Kighoma Ali Malima. Huyu alikuwa Waziri mwenye dhamana ya Hazina. Alikuwa msomi na mwenye ushawishi ndani ya Chama chake. Haya ya sasa, ingelikuwa enzi zile, Lazaro Nyalandu ingelikuwa ni jina maarufu kwenye vijiwe vya mtaani tu, wala si jina la kutisha ndani ya CCM.

Kwenye Daily News, Julai 17, 1995, iliripotiwa kama ifuatavyo:
" Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Viwanda, Kighoma Ali Malima, ameondoka CCM na kujiunga na Chama chake kipya cha National Reconstruction Alliance ( NRA).

Malima alitangaza hayo kwenye mkutano mjini Tabora, na anatarajiwa kuwa mgombea Urais kupitia NRA." - Daily News, Julai 17, 1995.

Siku ya pili yake, Julai 18, 1995, Kwenye Daily News, Katibu Mwenezi wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru alilipotiwa akitoa kauli juu ya hatua hiyo ya Malima, kwa kutamka.

" Alichofanya Malima hakina maana yeyote kwa CCM!"

Ni nani anayejiuliza leo mchango wa Mzee Kingunge kwenye kutufikisha hapa?

Naam, historia ni Mwalimu Mzuri.

Maggid Mjengwa.

0688 37 36 52 ( Whatsapp)
Katibu mwenezi 1995.....Kingunge
Katibu mwenezi 2017.......Polepole
 
Back
Top Bottom