Historia katika Soka, timu zote za Mji moja zashuka daraja kwa msimu mmoja

mkolaj

JF-Expert Member
Mar 24, 2014
3,020
1,087
FUUUUUUUL TIME.
Toto 0~Stand united 1
Majimaji 2~Yanga 2
Simba1 ~Jkt ruvu 2
Azam 1~Mgambo 1
Coastal union 0~Prisons 2
Mcc 0~Ndanda 0
Mtibwa 2~African sport 0
Mwadui 0 ~ Kagera Sugar 2.
-Kunani pale. . .Tanga!Mbona kila kitu
kimekwisha. . Tanga.
Ligi kuu Tanzania bara imemalizika, African
Sports, Coastal Union, Mgambo JKT zote
kutoka pale Tanga zinateremka daraja.
 
Simba SC itakuwa timu ya nne kushuka endapo hawatamlipa Donald Musoti fedha anayowadai kwa muda uliotolewa, hii itakuwa ni timu kutoka nje ya Tanga.

Ushauri: Simba wasilisheni proforma invoice Yanga ili msaidiwe kulipa deni lenu na hivyo muepuke kushushwa daraja.
 
Wameweka historia ambayo kuja kuivunja itabidi mikoa mingine ifanye kazi.Inauma kiukweli ila VPL haikuwapenda.
 
Back
Top Bottom