Historia itatuhukumu

stujadiliane

Member
Jun 2, 2017
66
125
Nimewaza sana Juu ya watawala waliopita toka enzi za Biblia.Mfalme Sulemani anatajwa kwa hekima aliyopewa na Mungu.Mfalme Daudi anasifika kwa kumuua goliati na uhodari wake wa vita.Hata hivyo historia hakumuacha bila kutaja alivyo chukua Mke wakamanda wake huria

Historia haifi watu tunakufa.Niki kumbuka hilo na umiza kichwa changu Juu ya watawala wababe watukutu na wakatili nini ambacho Historia itakisema Juu ya utawala wao

Napenda kuwa kumbusha wanasiasa kuwa haijawai kutokea mahali popote mwanadamu akatawala milele maana yake akadumu malakani. Ayubu 14:10 biblia inasema mwanafamu hufa hufariki Dunia.ukumbuke kuwa lazima utakufa.

Hata kama umezingukwa na madaktari bingwa au majeshi na ndege za kivita iko siku utakufa .Je utaacha historia gani kwa vizazi vitavyo faata badala yako? Je kizazi cha tatu hadi cha kumi baada yako watasema nini wakiliona kaburi lako?

Namaliza kwa kuwakumbusha watawala watende mema waishi maisha ya haki.wahukumu kwa haki ili istoria iwaandike vema
 

Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,385
2,000
Hawawezi kutenda haki sababu wanaamini hata vizazi vyao Vita endelea kutawala.

Kwa Tanzania Watanzania tutatendewa haki na Watawala pale adhabu yetu itakapokwisha.

Siku lile li Mwenge litakapo achwa kutembezwa ndiyo siku Watanzania tutakapo kuwa huru.
 

Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
895
1,000
Ushauri muhimu kwa viongozi waongoze nchi kama tasisi huru sio kutokana na mawazo yao ya makinikia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom