Historia inasema CIA walikuwa wakiondoa viongozi madikteta na waliweka viongozi wa kidemokrasia, zama hizi wanashindwa wapi?!

Abdul Fattah el Sisi CIA Project,
Ufalme wa Saudia CIA Project.
CIA wanamuondoa yeyote anayekwamisha maslahi yao bila kujali ni mwanademokrasia au dikteta
Siyo kweli kuna baadhi wamewashindwa CIA inamuondoa pale kukiwa na hujuma ndani ya utawala wa wanayemuhitaji. Wapo wengi wamewashindwa na juzijuzi walimshindwa Maduro wa Venezuela pamoja na propaganda zao
 
Pamoja na ubabe wa Amerika ameisaidia duniani ya kwanza kustaarabika, pale alipousambaratishs mfumo wa kipuuzi wa ucomunist,
China na Russia zimeachana upuuzi na zimenyooka kwa sababu ya america,

Wale waliokuwa wanaside na ucomunist ilibidi wanyooshwe kisawasawa

Hapa Julius alikuwa mjaja akajidai mjamaa (socialism) asiyefungamana na upande wowote ili kukwepa mkono wa mbabe wa dunia ilikuwa hiyo ndo ilikuwa Salaam yake
Siyo kweli ni ujinga wa Gorbachev ndiyo ilimfanya akubaliane na USA lakini CIA hawana ubavu wa kuiondoa RUSIA. Kama nilivyosema mwanzo CIA inafaulu pale ikiweka mamluki wajinga kama walivyowapatia warusi na baadhi ya mamluki. Wameshindwa mahali pengi sana duniani China walishaishindwa miaka mingi sana mpaka sasa wamekua nguvu sawa inawabidi wakae kama wakubwa meza moja na Uchini ilikua udunia ya tatu,
 
Lakini historia imeeleza tofauti, tumesoma waliondoa utawala wa mtu na kuweka viongozi nchi mbali mbali.

Narudia tena CIA IPO KWA MASLAHI YA USA HAIKUUNDWA KWA MASLAHI YA WATU WA MATAIFA MENGINE..

CIA inaishi kwa kodi za Wamarekani kwa maslahi ya Wamarekani, ukiona CIA wametoa mtu Mahala wakaweka mtu tambua hiyo ni kwa maslahi ya USA. Ili kumtoa mtu waweke mtu lazima either wawe na sababu au waitengeneze sababu lakini tambua ni kwa maslahi ya wamarekani..

Kama huna sababu ya kugombana na USA au Wazungu basi ishi tu kwa busara hii ni tahadhari kwa maslahi ya watu wako ambao ni wengi, kugombana na hawa watu huacha athari kubwa kwa jamii yako kuliko ambavyo ungekaa kimya na kudeal nao kwa hekima na busara.. Kumbuka wana nyenzo nyingi za kuitawala dunia na kupambana na yeyote kuliko labda nyenzo ulizonazo unapoamua kuwa adui yao..Kumbuka wanaendless programs kwa ajili ya maslahi yao kuliko umri wako wewe uliyeanzisha ugomvi nao baadala yake utakufa na kuacha athari za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwenye jamii yako..
 
walikuwa wanaondoa communists sio madikteta, as long as ukiwa anti-communist hata kama wewe ni dikteta wanakulinda
kipindi cha vita baridi
 
Mnisaidie tafakuri hii, zama hizi hawa CIA, wanashindwa wapi, vipi na kwanini wamekuwa tofauti na huko miaka ya nyuma, tulisoma jinsi walivyokuwa wakiondoa makandokando nchi zetu hizi, juzi juzi walifanikiwa Iraq, na hata Libya, lakini Syria wanaelekea kukwama, huku kusini mwa jangwa la sahara ni kama hawajishughulishi kabisa, au hivi vilio vyetu havisikiki au havijawafikia au vimepuuzwa.

Kwanini wasifundishe vijana wa nchi hizi mbinu za kutekeleza hazima hizo wenyewe bila wao kushiriki ikiwa hawataki kuhusika au kuhusishwa.

Nchi zetu hizi sio priority zao, kwanini wamekuwa wakikosoa bila kutoa solution, binafsi ningependa hata watoe mafunzo yale kwa wazawa kuliko kuangalia mambo kwa mbali bila kusaidia kutatua.

Waliua madikteta nini kimewasibu, hadi kutokutekeleza haya tena?!
 
Pamoja na ubabe wa Amerika ameisaidia duniani ya kwanza kustaarabika, pale alipousambaratishs mfumo wa kipuuzi wa ucomunist,
China na Russia zimeachana upuuzi na zimenyooka kwa sababu ya america,

Wale waliokuwa wanaside na ucomunist ilibidi wanyooshwe kisawasawa

Hapa Julius alikuwa mjaja akajidai mjamaa (socialism) asiyefungamana na upande wowote ili kukwepa mkono wa mbabe wa dunia ilikuwa hiyo ndo ilikuwa Salaam yake

Kuna mtu nimemjibu hapo juu, kama huna sababu ya kugombana na hawa watu ni bora ukajikalia kimya na kuendelea kuongoza kwa hekima na busara kuliko kupiga mayoye na kuleta athari kwa jamii yako..

Mchina juzi hapa kajaribu kunyanyua mdomo fimbo aliyochapwa nayo naona kaanza kwenda kwa hekima na busara maana amesahau Taiwan na Hongkong ni fimbo rahisi ya kumchapia..
 
Mnisaidie tafakuri hii, zama hizi hawa CIA, wanashindwa wapi, vipi na kwanini wamekuwa tofauti na huko miaka ya nyuma, tulisoma jinsi walivyokuwa wakiondoa makandokando nchi zetu hizi, juzi juzi walifanikiwa Iraq, na hata Libya, lakini Syria wanaelekea kukwama, huku kusini mwa jangwa la sahara ni kama hawajishughulishi kabisa, au hivi vilio vyetu havisikiki au havijawafikia au vimepuuzwa.

Kwanini wasifundishe vijana wa nchi hizi mbinu za kutekeleza hazima hizo wenyewe bila wao kushiriki ikiwa hawataki kuhusika au kuhusishwa.

Nchi zetu hizi sio priority zao, kwanini wamekuwa wakikosoa bila kutoa solution, binafsi ningependa hata watoe mafunzo yale kwa wazawa kuliko kuangalia mambo kwa mbali bila kusaidia kutatua.

Waliua madikteta nini kimewasibu, hadi kutokutekeleza haya tena?!
SIKU HIZI WANAJIPENYEZA INDRIECT KAMATI KUU! MKUTANO MKUU! HALMASHAURI KUU NA SECRETARIAT ! HOW?? Stay tuned💪💪💪
 
Narudia tena CIA IPO KWA MASLAHI YA USA HAIKUUNDWA KWA MASLAHI YA WATU WA MATAIFA MENGINE..

CIA inaishi kwa kodi za Wamarekani kwa maslahi ya Wamarekani, ukiona CIA wametoa mtu Mahala wakaweka mtu tambua hiyo ni kwa maslahi ya USA. Ili kumtoa mtu waweke mtu lazima either wawe na sababu au waitengeneze sababu lakini tambua ni kwa maslahi ya wamarekani..

Kama huna sababu ya kugombana na USA au Wazungu basi ishi tu kwa busara hii ni tahadhari kwa maslahi ya watu wako ambao ni wengi, kugombana na hawa watu huacha athari kubwa kwa jamii yako kuliko ambavyo ungekaa kimya na kudeal nao kwa hekima na busara.. Kumbuka wana nyenzo nyingi za kuitawala dunia na kupambana na yeyote kuliko labda nyenzo ulizonazo unapoamua kuwa adui yao..Kumbuka wanaendless programs kwa ajili ya maslahi yao kuliko umri wako wewe uliyeanzisha ugomvi nao baadala yake utakufa na kuacha athari za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwenye jamii yako..
Lakini maslahi yao kuondoa utawala wa mtu na kuweka uongozi wa wengi ni faida kwa wananchi kuliko labda hata maslahi yao kisiasa au kiuchumi, nchi hizi za kiafrika watawala wamezidi kuonea raia wengi wenye nchi wakilinda maslahi yao wachache, binafsi ningeomba CIA wasaidie kuondoa watawala wachache na wasaidie kusimika viongozi wa wengi kwa maslahi ya nchi zetu hizi.
 
Hajui huyo
Mpe elimu
Nani alikuwambia CIA wanataka viongozi waliochaguliwa kidemokrasia ?
1. Mobutu CIA project baada ya kumuua Patrick Lumumba
2. Sadam hussein CIA PROJECT
3. Fidel Marcos CIA Project
4. Charles Taylor CIA Project
5. Shah wa Iran CIA Project
6. Mwaka 1973 CIA walimuua Rais Allende wa Chile aliyechaguliwa kidemokrasia na kumweka dikteta Pinochet
Hao ni.baadhi tu
 
Allende's involvement in Chilean political life spanned a period of nearly forty years, having covered the posts of senator, deputy and cabinet minister. As a life-long committed member of the Socialist Party of Chile, whose foundation he had actively contributed to, he unsuccessfully ran for the national presidency in the 1952, 1958, and 1964 elections. In 1970, he won the presidency in a close three-way race. He was elected in a run-off by Congress as no candidate had gained a majority.

On 11 September 1973, the military moved to oust Allende in a coup d'état supported by the United States Central Intelligence Agency (CIA).[11][12][13] As troops surrounded La Moneda Palace, he gave his last speech vowing not to resign.[14] Later that day, Allende committed suicide with an AK-47 rifle gifted to him by Fidel Castro,[15] according to an investigation conducted by a Chilean court with the assistance of international experts in 2011.[16]

Following Allende's death, General Augusto Pinochet refused to return authority to a civilian government, and Chile was later ruled by a military junta that was in power up until 1990, ending more than four decades of uninterrupted democratic rule. The military junta that took over dissolved the Congress of Chile, suspended the Constitution, and began a persecution of alleged dissidents, in which thousands of civilians were kidnapped, tortured and killed
 
Kwa lugha nzuri ni kwamba kazi ya CIA ni kulinda maslahi ya Marekani pindi kiongozi yeyote akienda against interest ya serikali ya Marekani anaondolewa
Mnisaidie tafakuri hii, zama hizi hawa CIA, wanashindwa wapi, vipi na kwanini wamekuwa tofauti na huko miaka ya nyuma, tulisoma jinsi walivyokuwa wakiondoa makandokando nchi zetu hizi, juzi juzi walifanikiwa Iraq, na hata Libya, lakini Syria wanaelekea kukwama, huku kusini mwa jangwa la sahara ni kama hawajishughulishi kabisa, au hivi vilio vyetu havisikiki au havijawafikia au vimepuuzwa.

Kwanini wasifundishe vijana wa nchi hizi mbinu za kutekeleza hazima hizo wenyewe bila wao kushiriki ikiwa hawataki kuhusika au kuhusishwa.

Nchi zetu hizi sio priority zao, kwanini wamekuwa wakikosoa bila kutoa solution, binafsi ningependa hata watoe mafunzo yale kwa wazawa kuliko kuangalia mambo kwa mbali bila kusaidia kutatua.

Waliua madikteta nini kimewasibu, hadi kutokutekeleza haya tena?!
 
Kwa lugha nzuri ni kwamba kazi ya CIA ni kulinda maslahi ya Marekani pindi kiongozi yeyote akienda against interest ya serikali ya Marekani anaondolewa
Hivyo unataka kusema tunatekeleza interest zao kwanza na haya mengine tunayofanyiwa na hawa watawala ni sawa tu kwasababu siyo shamu ya interest yao?!
 
Wewe mleta mada hujui ata unachokiandika ukijua siri ya cia kwa viongoz hao uliowataja utajiona choo
Unaweza ukadhani niko peke yangu nisiyeelewa, lakini naamini wako wengi. Nieleweshe hiyo siri kwa faida ya wale wenzangu.
 
Mnisaidie tafakuri hii, zama hizi hawa CIA, wanashindwa wapi, vipi na kwanini wamekuwa tofauti na huko miaka ya nyuma, tulisoma jinsi walivyokuwa wakiondoa makandokando nchi zetu hizi, juzi juzi walifanikiwa Iraq, na hata Libya, lakini Syria wanaelekea kukwama, huku kusini mwa jangwa la sahara ni kama hawajishughulishi kabisa, au hivi vilio vyetu havisikiki au havijawafikia au vimepuuzwa.

Kwanini wasifundishe vijana wa nchi hizi mbinu za kutekeleza hazima hizo wenyewe bila wao kushiriki ikiwa hawataki kuhusika au kuhusishwa.

Nchi zetu hizi sio priority zao, kwanini wamekuwa wakikosoa bila kutoa solution, binafsi ningependa hata watoe mafunzo yale kwa wazawa kuliko kuangalia mambo kwa mbali bila kusaidia kutatua.

Waliua madikteta nini kimewasibu, hadi kutokutekeleza haya tena?!
Uzi wako ni wa uongo 100% mkuu.CIA wanaondoa viongozi wanaotawala kwa maslahi ya watu wao na kushirikiana na wale ambao wanashirikiana nao katika uporaji wa rasimali za watu wao.Kama wangekuwa wanajali democrasia kamwe wasingeshirikiana na Saudi Arabia wala Bahrain.Wamarekani wanachojali ni pesa,utu and the so called democracy is nothing to them.Ni danganya toto tu mkuu.
 
Nani alikuwambia CIA wanataka viongozi waliochaguliwa kidemokrasia ?
1. Mobutu CIA project baada ya kumuua Patrick Lumumba
2. Sadam hussein CIA PROJECT
3. Fidel Marcos CIA Project
4. Charles Taylor CIA Project
5. Shah wa Iran CIA Project
6. Mwaka 1973 CIA walimuua Rais Allende wa Chile aliyechaguliwa kidemokrasia na kumweka dikteta Pinochet
Hao ni.baadhi tu

Uko sahihi, je kinachoendelea sasa hivi ndani ya box la kura kwenye nchi yetu unaweza kusema viongozi wanapatikana kidemokrasia?
 
Back
Top Bottom