In New York we take that as a compliment.Kiranga, adjective. If you are sick, you are ill. Sick usually means physically ill, but it can sometimes be used to mean mentally ill. He's very sick. He needs medication.
Unalazimisha mambo ambayo huna ushahidi nayo.
Nipe ushahidi kwamba Magufuli kuna kitu kibaya amenifanya.
Weka ushahidi hapa tujue unajua unachoandika, na si kwamba unaandika uzushi tu.
Magufuli kaipa familia yangu nyumba yenye thamani ya mamilioni ya US dollars, Oysterbay Dar es salaam.
Sasa kama unaongelea mimi kuwa na chuki binafsi na Magufuli, ninaanzaje kuwa na chuki binafsi na mtu aliyeipa familia yangu nyumba ya mamilioni ya USD Oysterbay?
Ningekuwa mtu wa kuangalia mambo personally, nilitakiwa kuwa namuimbia Magufuli mashairi ya kumsifu.
Kwanza Msukuma mwenzangu, kisha kaipa familia yangu boonge la shavu.
Lakini, siangalii hayo, naangalia principle. Unaelewa maana ya principle?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwanza hujui hata Kiswahili.Wakati mwingine uko bright sana ila ni mpumbavu linapokuja swala la dini
Sent using Jamii Forums mobile app
There is, mfano wewe una facts zako.Facts are facts. There is no such thing as "your facts".
You have no basis to stand on, therefore you are disputing any basis.
Magufuli dropped the revenue from agricultural products sold outside Tanzania by 55% in just one year ending August 2019.
Tha Bank of Tanzania report of September 2019 has that fact.
He did that primarily by bungling the cashewnuts market.
Are you disputing that this drop is not a fact?
Sent using Jamii Forums mobile app
You do not distinguish between fact and opinion.There is, mfano wewe una facts zako.
You have facts that assume there is no supernatural powers aka God, you argued with people here, whose facts are that, there is God.
Au unataka kusema facts anazotoa kiranga ndio the og facts , mr know it all, huh.
That is sickness.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimfananishe FDR na vitu vya kijinga.
FDR kaitoa US kwenye depression na kaiokoa dunia dhidi ya majeshi ya Hitler.
Magufuli anajipiga risasi mwenyewe mguuni kabla ya kuanza mashindano ya marathon.
Magufuli hajui anataka nini.
Na hivyo vita ya uchumi haiwezi.
Ndiyo maana anamfukuza kazi Waziri kwa kuingia mkataba bila idhini ya bunge, wakati yeye mwenyewe Magufuli ni kinara wa kufanya manunuzi bila idhini ya bunge.
Magufuli is a country bumpkin.
He is an irrational, inconsistent, ignoble, irritable, imbecilic ignoramus.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siamini katika uchawi, hivyo siwezi kuwa kigagula.
You do not distinguish between fact and opinion.
You are deluded by branding opinion as fact.
The second law of thermodynamics is a fact.
Do you dispute that?
Sent using Jamii Forums mobile app
Of his imbecile?Ok gimme more facts of his imbecile, ignorant and all the insults you can yell at his presidency. Korosho, next.
Then will give you mine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Why are you using English then? This language is clearly a tongue whose parts of speech and grammatical rules you do not seem to master. Not that it is superior or anythyng akin to that by sheer logical cinstructs. You give me reason to suppose you are a semi literate imbecile as well.
Kiranga, hayo ni maneno ya kwenye vijiwe na wanaharakati. Nimekulekeza kwenye mpango wa maendeleo na ilani ya CCM 2015-2025 ambazo zinapaswa kuakisika kwenye bajeti.
"Kiranga, msingi wa bajeti ni mpango wa maendeleo na ilani ya CCM; soma hayo maandiko kama hayaelekezi hivyo vitu kufanyika.
"Magufuli is a country bumpkin.
He is an irrational, inconsistent, ignoble, irritable, imbecilic ignoramus"
That is deep rooted hate, than kupingana kisiasa alone. Ati irrational, are u rational, sasa shuhudia end of this 2020 uone your irrational anavyoshinda kwa kishindo afu uje useme tz's are irrational.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sole Proprietor, ndiyo mkuu labda kwa vile hakuna bunge live ndi maana hujawahi kushuhudia
Lugha has nothing to do with what we were discussing here, but you're a sick imbecile guy, so i understand. Naona tufunge tu mjadala, tutapotezeana muda.Why are you using English then? This language is clearly a tongue whose parts of speech and grammatical rules you do not seem to master. Not that it is superior or anythyng akin to that by sheer logical cinstructs. You give me reason to suppose you are a semi literate imbecile as well.
You do know that I am sufficiently capable of conversing in Swahili now, do you?
Or is Swahili also a problem?
Sent using Jamii Forums mobile app