swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,467
Historia ni kama duara hujirudia kwa mtindo wa maneno,matendo,matukio na Nyakati.
Kinachoendelea zanzibar ni historia ya mapinduzi iliyoasisia wa Field Marshal Okelo ambae historia imempoteza tena kwa makusudi.Huyu ndiye mwasisi wa mapinduzi ya zsnzibar.
Nchi iliyoasisiwa kwa mapinduzi ya mtutu huwa haiishi kushudia matendo kama hayo km sivyo basi yatadhuhudiwa mababu,ubabe na Matabaka ya utawala.
Mfano:Burundi,Rwanda,Uganda,Congo-kinshasa na Congo brazzavile ni nchi ambazo uasiso wake na asili ya utawala ni mabavu na mapinduzi.
Kwa nchi zenye asili hiyo hata km demokrasia itaasisiwa baada ya muda asili ya mapinduzi hujirudia kwa kuwa ni mvutano wa haki na ghiliba.na wenye haki wasiopenda kushindwa hukumbuka asili yao na kuona kuwa ndiyo njia yao sahihi.Na historia haifi .
Zanzibar inaRecircle.