Historia imeandikwa baada ya ndege kutua kwenye Dubai’s Burj Al Arab

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,595
8,729
Sisi tukibaki kila siku kusema ni uongo kila kukicha wakati wenzetu wakijaribu kila wanachofikiri ndio maana tunatumia vyao.

Wadhamini wa michezo hatari na mengineyo kupitia kampuni ya Red bull wamefanya mchezo wa kurusha ndege aina STOL aircraft kupitia mtaalamu wa urubani bwana Lukasz Czepiela alipojaribu mara 14 kushuka kwenye gorofa la Burj Al Arab.

The plane has landed on Dubai’s iconic Burj Al Arab helipad.

The breathtaking stunt was undertaken by pilot Lukasz Czepiela and shared on his personal Instagram page as well as by Red Bull and Visit Dubai.

Czepiela revealed the stunt had been two years in the making and came after 650 practice runs undertaken on the ground.

The plane lands on Dubai’s Burj Al Arab

The helipad measures just 27m across and is 14 times smaller than the world’s shortest commercial runway, meaning it took immense skill for the pilot to land on the bullseye, amid steady wind conditions.

The Burj Al Arab helipad is 212m above sea level and corresponds with the hotel’s 56th floor.

The specially modified Red Bull plane had 13 custom adjustments to make it as light as possible and able to land without the need for a long runway.


images%20(74).jpg
images%20(76).jpg

images%20(75).jpg
 
Kwa wale wasioijua Burj Al Arab ni jengo refu sana lenye Mita 321 yaani ina mita 14 zaidi ya ule mnara wa Eiffel kule Paris, Ufaransa.

Ina floor 56, na vyumba zaidi ya 200 vya kulala.

Kulala usiku mmoja tu ni dola za kimarekani 2000 yaani $2000 ambapo kwa rate ya leo ni sawa na 4,680,000/= za kitanzania.
 
Back
Top Bottom