Historia fupi ya vita ya Kagera 1978-1979

"...those who write history tend to avoid all the facts that doesn't concile with their sides of war.... "

Hubi Nakashi
 
MWAKA 1978, Majeshi dhalimu ya Nduli Idi Amin Dadaa wa Uganga, yalivamia Ardhi ya Tanzania, eneo la Mto Kagera, katika mkoa wa Ziwa Magharibi na kufanya uharibifu mkubwa wa mali na kuua wananchi wa mkoa huo, ..... majeshi hayo yalivyoingia Tanzania na Amin kutangaza rasmi kuwa eneo hilo la Mto Kagera ni sehemu ya Uganda.
Ndugu yangu naomba uangalie kwa uangalifu maneno niloyowekea RANGI. Hili ni Jukwaa la Historia, yabidiukweli na ufasaha vipewe kipaumbele.
1. Uganga: isomeke UGANDA.
2. Eneo hilo la Mto Kagera: isomeke Eneo la KASKAZINI MWA Mto Kagera.Hapa ni kuanzia Mirongo (sasa Wilaya ya Kyerwa)...kupitia KYAKA (isomeke CHAAKA)..hadi pale Mto Kagera unapoingia Ziwa Nyanza,yaani Wilaya NZIMA ya Misenye..ambayo wakati huo ilikuwa TARAFA...
 
Back
Top Bottom