Historia fupi: Israel haiwezi kuimaliza Palestina sababu walishashindwa toka mwanzo wakiwa taifa la Mungu

Naomba nikukumbushe kuwa Unabii wa Dunia hadi kuchomwa moto umetabiriwa toka agano la kale so usilazimishe Agano jipya kukupa majibu pekee............................................

haya twende kazi ilitabiriwa kwamba baada ya wana wa Israel kutawanya huwa lazima warudi tena nchini mwao katika historia wameshatawanywa mara kadhaa na kurejeshwa. ndio maana Hekalu limebomolewa mara kadhaa na kujengwa upya.

kurejewa kwao sio bahati mbaya soma hapa

Yeremia 32:37​

Nitawakusanya watu kutoka nchi zote ambako kwa hasira na ghadhabu na chuki yangu kubwa, niliwatawanya. Nitawarudisha tena mahali hapa, na kuwafanya wakae salama.
Unaijua sheria ya Kristu? Ni sheria gani alituambia tuzitii
 
Kwa msaada wa biblia na vitabu mbalimbali.

Huwa nawashangaa sana watu wanaiona Israel kama taifa teule kwa Mungu kumbe wanajidanganya tu.

Historia inasema hapo mashariki ya kati wakaazi asilia ni Wafilisti(Wapalestina) na makabila madogo kama Wahivi,Wagirigashi n.k. toka Taifa la Israel likiwa njiani waliambiwa mapema wakiisha chukua nchi wawatoa na kuwaua kabisa raia wa nchi hiyo ili wasije kuchanganya ibada.

(Soma Hesabu 33:52,53)

Asili walikuwa wanaabudi mungu Baali na Israel Mungu YEHOVA. Israel ilijitahidi sana kupigana kwa msaada wa Mungu walichukua nchi japo hawakutoa wakaazi wote na waliobaki ni Wapalestina wakabaki na miji mi3 tu Gaza,Askeloni na Ekroni.

Chini ya mfalme Daudi walitawala mashariki yote mpaka karibu na Armenia ya leo. Pamoja na uwezo wa Daudi lakini bado Wapalestina walikuepo japo walikuwa watumwa kwa wakati huo.

Mwaka 70 ukawa mwisho wa taifa la teule la Israel pale Roma ilipochoma mji wote wa Yerusalemu na wakaazi wote kukimbilia maeneo mbalimbali ya dunia hususa ni ulaya.
(
Luka 21:24) soma

Baada ya mwisho wao wapalestina wakanza kujitanua kidogo kidogo na kufika Yerusalemu,chini ya Roma hawakuwa na shida. Kwa msaada wa Waislamu Israel yote ikawa chini ya Wapalestina na mabaki wachache wa wayahudi.

(Mathayo 23:37)soma



Baada ya vuguvugu la wayahudi kurudi kwao ndio 1948 likajitokeza tena taifa la Israel lakini halikuwa na uhusiano wowote na Mungu bali Uingereza na Marekani. Kama sio ujanja wao wangekuwa watumwa wa Palestina mpaka leo na siku waarabu wakijitambua na wakibadili fikra na mtazamo wao kuhusu Israel kuwa taifa la kawaida tu kama ilivyo Syria watapigwa na kumalizwa.

Sasa Israel ilishindwa kumaliza Wapalestina wakiwa na usaidizi wa Mungu je wataweza sasa?

(Wanadini ili niwaamini njooni na maandiko ya agano jipya tu, kuitetea Israel nje ya hapo ni UYAHUDI unatetea).
Sasa wakiwamaliza hiyo biblia si itakuwa sawa na story ya shigongo, au bado hujaelewa??
 
Shida ni kwamba Israel anachokoza af parestina anareact then akiingia ulingoni anapigwa ardhi inachukuliwa, na hivi ndivo ilivo, mfano familia kazaa zilifukuzwa east Jerusalem , wakachafukwa wanaandamana jioni wakaingia kufturu Al aqsa , Israel wakawafuata msikitin wakawapiga haswa.. na Israel target ni eneo la mskiti ajenge hekalu....Sasa subiri vugu vugu lipoe af utanipa report Kama israel hajafanikiwa kuichukua kale kakitongoji kote ambako mskiti upo ndan yake, na palestina kashakimbia pale, now Israel kashatimiza lengo na anapiga ili kujilinda na kujenga heshima....hebu fuatilia generalized comments za mataifa mbalimbali uone wanamdescribe israel Kama mkorofi na wanakemea
Dah washkaji wahuni sana
Yani eneo walilopewa 1948 na walilonalo sai ni tofaut kabisa
 
Hilo limeandikwa kwenye Biblia sijatunga mimi

1 Petro 2:9 NEN

Lakini ninyi ni taifa teule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu walio milki ya Mungu, mlioitwa ili kutangaza sifa zake yeye aliyewaita kutoka gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu.

Maandiko nliyokupa yanaeleweka mengine ni kutaka kubishana tu..


Torati 7:7-9 yatuambia, “BWANA hakuwapenda ninyi, wala hakuwachagua ninyi, kwa sabau mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote; bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kuutimiza uapo wake aliowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawaatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri. Basi jueni ya kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kusika amri zake, hata vizazi elfu.”

Nshafunga mjadala
View attachment 1791902
 
waislaeli ni washenzi kama washenzi wengine hakuna cha uteule wala nini? ndiyo maana Hitler alikuwa anawaua baada ya kugundua tabia za ajabu ajabu za waislaeli. mijitu mibinafsi kama nini.
 
Back
Top Bottom