Hisense tamu sana kwenye midrange smart tv
Tcl ubora wake wa picha vipiMimi natumia Hisence quality iko vizuri kabsa, ila shida iko kwenye store yao ya application wameweka vitu vya ovyo sana na huwezi kutafuta sehemu nyingine.
Kama unataka kufurahia nunua TCL android Tv 4k yenye playstore, mimi kwenye hii Hisence najihisi mfungwa maana nikitafuta kitu kwenye store yao sipati, wameniwekea youtube, netflix ndo za maaana.
Tcl ubora wake wa picha vipi