Hisa za Zanzibar katika Benki Kuu: Je, SMZ imewahi kuipa ruzuku BoT?

Kwa Tanganyika na Zanzibar, suala ni changu chetu na chako chako! Kuna ubinafsi wa dhahili, haswa kwa viongozi ni dili!

Muungano kwa aspect zoote, unahitaji reform kubwa saana kama ukiexist, otherwise ni burden kubwa kwa tngnyk! Hauna tija!
 
Nguruvi3 na Mchambuzi,
Heshima mbele wakuu. Namsubiri Mzee Mwanakijiji aje avunje mzizi wa fitina.
We dislike Tanzania, we need our Tanganyika! Freedom is comming!
Tukanyage twende..

TUMBIRI (PhD, Hull University - HULL City, UK),
tumbiri@jamiiforums.com

Tanganyika itakuja tu mkuu, ila sio kwa mtindo wa kuua muungano, bali serikali tatu; naandaa makala on that, especially kwanini Tundu Lisssu yupo sahihi juu ya hiki kiini macho; natumaini utaunga mkono hoja;
 
Kwa kaka Mkandara na JokaKuu mlioninukuu.

Unajua tatizo letu la muundo wa Muungano ni complex sana hasa kwa kipindi ambacho mvutano umekuwa ni mkubwa ulioelekea kwenye ubinafsi zaidi. Wanasiasa wengi wa kutoka Zanzibar wamekuwa wanajadili swala la Muungano kwa kuangalia madaraka zaidi kuliko masalahi ya nchi. Ndiyo maana unasikia msukumo wa Zanzibar kuwa taifa ndani ya Muungano, na madai ya kuundwa kwa serikali tatu. Kwa nchi kama yetu hii nilitegemea kuwa tutakuwa na msukumo wa kuundwa kwa serikali moja, na labda kuweka bayana katika katiba namna ya kugawana raslimali za nchi. Normally raslimali zingegwanywa kwa kufuata sehemu ambako raslimali hizo zilipo, na vile vile kwa kufuata wingi wa watu wa sehemu hilo.

Tungekuwa na utaratibu huo, haya mambo ya shea za Zanzibar au shea za Tabora ysingekuwapo.

Ninavyofahamu ni kuwa kutokana na muundo tete wa muungano wetu, Zanzibar haikuwa inatoa ruzuku yoyote pale Benki kuu ila serikali ya Muungano ndiyo iliyokuwa inafuta bili yote. Kwa hiyo inawezekana kabisa kuwa zanzibar ilichangia kuanziswha kwa benki kuu ya Tanzania ikiwa kama ni sehemu ya Tanzania baada ya kuvunjika kwa bodi ya fedha ya afrika ya masharaiki, lakini haikuhirisiki kabisa katika kutoa uhai kwa BOT kwa vile jukumu hilo lilibebwa na serikali ya Muungano, na BOT imebaki ikiwa ni chombo cha serikali ya Muungano. Mgawanyo wa faida za BOT utaendelea kufanywa na Serikali ya Muungano kama mabavyo hufanya kuhusu mapato mengine ya serikali.
 
Last edited by a moderator:
Habari hizi zina upotoshaji MWINGI SANA. BOT hupata faida karibu kila mwaka ingawa kuna miaka inapata hasara. Kilichotokea ni kuwa BOT ilipata faida kubwa sana haijawahi kutokea huko nyuma. Kwamba inapata ruzuku ni uongo mkubwa na si kweli kabisa.
 
Tanganyika itakuja tu mkuu, ila sio kwa mtindo wa kuua muungano, bali serikali tatu; naandaa makala on that, especially kwanini Tundu Lisssu yupo sahihi juu ya hiki kiini macho; natumaini utaunga mkono hoja;

Bw Mchambuzi,

Taratibu usije ukamkera Nguruvi3 na kundi lake. Yeye anacho amini kuwa watanganyika wote wanataka Muungano huu uendelee kama ulivyo. Wazo la serikali tatu ni wazo la ki-zanzibari. Mimi naisubiri hiyo makala kwa hamu sana...
 
Anachronism! ad hominem! kama unasoma hoja zangu mimi nasema LET ZNZGO!
Pili, tumeweza kuwabadilisha wznz na hoja ya serikali 3 hadi mkataba.
Si kwa matusi bali kwa hoja. Kuna kusoma, halafu kuelewa. Unaweza kusoma lakini usielewe.

Hoja za Ahmed Rajab kiongozi wa WZN na waarabu tunaziburuza na kuonekana za ajabau.
Wewe umeshasalim amri(nikupe uzi uliokiri), tulia usikikilize malumbano.

Uliposhindwa kujibu serikali 3 za nini, mkataba uhusu nini, unapaswa ukae kitako na kusikiliza wenye hoja wanasema nini.

Hapa ni JF tunabishana kwa hoja, ningeshauri urejee mzalendo.net
 
Mimi ni wale tuachiwe "tupumue" usinichanganye na wana-mkataba na wana-serikali tatu. Sisi kundi letu ni Tanganyika ki-vyake na Zanzibar ki-vyake. Tumechoka na ukiini macho wenu.
 
Kuweka nini ktk pato la Taifa si hoja sana, maana hata huku Tanganyika kuna mikoa inaiingiza kidogo sana ama hakuna kabisa kwa pato, tunachofanya ni kushare huu umasikini ili ku-balance equation.

Kinachouuzi ni kelele za wazanzibari, inakera sana. Mtu yeyote atakaye kuwa na sera za kuuvunja muungano atakuwa ame book kura. Tunalalamika umasikini umasikini hivi ni moja ya sababu ya umasikini wa TZ, watu badala ya kuchapa kazi wanapoteza malighafi mda, na malighafi material.
Why keep nagging, it needs to be done once and for all.
Mkuu MkamaP, kuweka pato la taifa ni jambo muhimu sana. Nadhani umeongelea mikoa ambayo ni tofauti na ZNZ. Hakuna mkoa unaotupa Rais au Makamu wa Rais kwa jina lake. ZNZ inatupa watu hao. Hakuna mkoa unao dai kama uliewekeza sana katika BoT, ZNZ wanadai hivyo.
Hakuna mkoa unaopata 7% ya pato la taifa kwasababu ya jina lake, ZNZ wanapata hivyo.
Kikubwa zaidi WZNZ wanadai ubia sawa katika muungano. Ni kupitia hilo wamekuwa wakipewa nafasi za upendeleo katika ajira, elimu n.k. Hakuna mkoa unaopata fursa hiyo.
Kwa mantiki hiyo 'with great power comes responsibility'.The question is, where is ZNZ responsibility in union matter! just a name ? what about material support.

In this context ZNZ has responsibility to meet her status as share holder, the only way is to show us her contributions in all avenues of union matters.
So far we know ZNZ contribution is nil, the least to say
ZNZ is draining without contributing and this is the core point.

Mchambuzi, hoja zako na maswali yako katika post uliochangia ni nzito na zinahitaji majibu ya kina.
Natamani mzee Mtei kama angeweza kutupa dodoso tu.
Natumai pia wanajamvi wote tupo msituni tukifukua na punde tutapata chochote.

Joka kuu, nadhani hoja yako kuwa ZNZ inapaswa kupata gawiwo inasimama kama ilivyo.
Bila kujali kama BoT imeshwahi kupata faida huko nyuma kilichopo mbele ni kuwa at this time of the year kukiwa na kelele za muungano hilo limejitokeza na kilichobaki ni tujadili kama wanapaswa au ndio mwendo wa 'kutoa na kupokea zake' kama zile za mishahara, bilioni 32, nishati ya bure n.k.

Pili, hoja ya kuwa lini ZNZ imechangia katika maendeleo ya Tanganyika nayo inasimama pale pale.
Hii pia inaenda mbali na kuhoji kama bilioni 32 za kodi za Watanganyika zinapaswa kutolewa tu bila sababu za msingi.

Tatu, hoja kuhusu BoT inakwenda mbali kila tunavyochambua. Endapo ZNZ wanadai mtaji wa kuanzisha benki yao basi isiishie hapo ni lazima wawajibike katika madeni ya nchi. Kila deni la Tanzania ni deni la JMT.
Hakuna deni lisilo na mahusiano na BoT, vipi wasidai kuwa uanzishwaji wa benki hiyo unapaswa pia kuwa na mgao wa deni la taifa ?

Hoja inazidi kwenda mbali kwa kutambua kuwa mishahara ya wafanyakazi wa SMZ inatoka Hazina -Dar es Salaam.
Hatuwezi kuitenga Hazina na BoT kwasababu ni ndugu wanaofanya kazi kwa pamoja.
Bilioni 32 zimetoka hazina kama mishahara na hatuwezi kuzitenga na BoT.
Kwa mantiki hiyo hesabu zinakuwaje ikifika wakati wa kuachana? Je, ZNZ watakuwa na cha kudai zaidi?
 
Mimi ni wale tuachiwe "tupumue" usinichanganye na wana-mkataba na wana-serikali tatu. Sisi kundi letu ni Tanganyika ki-vyake na Zanzibar ki-vyake. Tumechoka na ukiini macho wenu.
Maalim Seif hataki, Ahmed hataki, Jusa hataki. Hawa ndio viongozi unaosema wa kundi la 'niwale'.
Hakuna kiongozi yoyote wa SMZ, BLM, BLW, Uamsho anayesima na hoja yako, wewe unasimama wapi?
WZNZ wote wamegoma kuvunja muungano, wewe unaongelea WZNZ gani?
 
Kwa sababu Zanzibar iko ndani ya Tanzania, na pia kwa vile sarafu na kodi ni mambo ya Muungano, kila ambacho "Tanzania" ilitoa ku subsidize Benki Kuu ya Tanzania basi na Zanzibar nayo imo kwenye mchango wa ruzuku, imeshachangia!

Umemuajiri Mzanzibar kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, au naibu gavana BOT, ukamkata kodi ya jasho lake, ikaenda hazina, ikatoka ikarudishwa ku subsidize Benki Kuu isifilisike, hiyo hela utasema imechangiwa na nani, Tanganyika?

Hatuwadai kitu Wazanzibar! Ukimuuliza Mzanzibar umechangia nini hana budi kukujibu "Tanganyika imechangia nini"? Sio Tanzania, Tanganyika imechangia nini? Ndivyo theory ya mkataba wa Muungano ilivyo, as pitifully lopsided as it may sound, ndivyo tulivyowakubalia Wazanzibar, sisi wenyewe!
 
Taso,

..u have raised very interesting points.

..lakini, kuna wa-Tanganyika ambao wako ZNZ na wanalipa kodi huko.

..pia kuna habari kwamba mapato yanayokusanywa na TRA ZNZ huwa hayawasilishwi makao makuu DSM.

..serikali ya ZNZ ipo na ina vyanzo vya mapato, kwa msingi huo nadhani maswali yanayohusu mchango wake ktk kuendesha shughuli za muungano ni ya msingi sana.

..kwa msingi huo nadhani tunarudi palepale. ZNZ inachangia kitu gani ktk muungano??
 
Mkuu Taso, logically you're absolutely right, bahati mbaya hali ipo tofauti.
Kwa mfano kama wamo ndani ya BoT mgawao wa 7% ni wa nini? Kwanini wasipate mgao kama ilivyo sehemu nyinigine ya nchi. Kwanini kuwe na formula maalumu kwa ajili yao.
Formula hiyo inazingatia nini kwasababu arithmetic hazikubaliani na ongezeko la 4%, 7% na sasa wanadai 11%.

Hoja hapa ni kuwa kama BoT imetoa gawio kwa serikali ya JMT ambayo ZNZ ni washiriki kwa mantiki yako, je, wanapaswa pia kupata gawio nje ya hilo? na kama jibu ni ndiyo kwanini wapate ikiwa wao nao ni sehemu ya JMT?

ZNZ wanataka kuanzisha benki kuu yao (Haki yao kabisa) na wanataka wapate mtaji kutoka BoT!
Kwanini watake mtaji tu wasitake sehemu ya deni la taifa?
Kuna mambo yamejichanganya sana.

Katika mazingira ya kawaida haya yangeongelewa kitaalam na kuwa na suluhisho, kwa wakati tulio nao nadhani ni kuongelea jinsi ya kuvunja jahazi na kama mbao zipo zigawanywe kila mtu aangalie umasikini wa eneo lake.

Kinyume cha hivyo sisi ndio losers na wanataka kutumia udhaifu huo kuchomeka hoja ya kipuuzi sana ya mkataba.
Hivi mkataba na ZNZ unatusaidiaje na kwa jambo gani.
 
Taso,

..sasa kama ZNZ iko ndani ya muungano, haichangii chochote, na hatupaswi kuuliza: je, uhalali wa ZNZ kupewa MGAO unatoka wapi?

Nguruvi3,

..11% ulikuwa ni mchango wa ZNZ ktk mtaji ulioanzisha BOT.

..mtaji wa kuanzisha BOT ulitokea kwenye East Africa Currency board ambayo ilivunjika baada ya nchi wanachama kuamua kuanzisha benki kuu zao wenyewe.
 
Mkuu Joka kuu, kuna ile 4% ambayo imeongezwa na kuwa 7%halafu kuna madai ya kuongeza 7% kufikia 11%
Hebu niweke sawa.
Nafahamu kuwa 11% ni mtaji kwa BoT.

Nakumbuka waziri wao alijibu kuwa wanapokea 4%, ukweli ukajulikana kuwa ni 7% na waziri alikuwa ana sisitiza iwe 11%
 
Mkuu MkamaP, kuweka pato la taifa ni jambo muhimu sana. Nadhani umeongelea mikoa ambayo ni tofauti na ZNZ. Hakuna mkoa unaotupa Rais au Makamu wa Rais kwa jina lake. ZNZ inatupa watu hao. Hakuna mkoa unao dai kama uliewekeza sana katika BoT, ZNZ wanadai hivyo.
Hakuna mkoa unaopata 7% ya pato la taifa kwasababu ya jina lake, ZNZ wanapata hivyo.
Kikubwa zaidi WZNZ wanadai ubia sawa katika muungano. Ni kupitia hilo wamekuwa wakipewa nafasi za upendeleo katika ajira, elimu n.k. Hakuna mkoa unaopata fursa hiyo.
Kwa mantiki hiyo 'with great power comes responsibility'.The question is, where is ZNZ responsibility in union matter! just a name ? what about material support.

In this context ZNZ has responsibility to meet her status as share holder, the only way is to show us her contributions in all avenues of union matters.
So far we know ZNZ contribution is nil, the least to say

ZNZ is draining without contributing and this is the core point.

Mchambuzi, hoja zako na maswali yako katika post uliochangia ni nzito na zinahitaji majibu ya kina.
Natamani mzee Mtei kama angeweza kutupa dodoso tu.
Natumai pia wanajamvi wote tupo msituni tukifukua na punde tutapata chochote.

Joka kuu, nadhani hoja yako kuwa ZNZ inapaswa kupata gawiwo inasimama kama ilivyo.
Bila kujali kama BoT imeshwahi kupata faida huko nyuma kilichopo mbele ni kuwa at this time of the year kukiwa na kelele za muungano hilo limejitokeza na kilichobaki ni tujadili kama wanapaswa au ndio mwendo wa 'kutoa na kupokea zake' kama zile za mishahara, bilioni 32, nishati ya bure n.k.

Pili, hoja ya kuwa lini ZNZ imechangia katika maendeleo ya Tanganyika nayo inasimama pale pale.
Hii pia inaenda mbali na kuhoji kama bilioni 32 za kodi za Watanganyika zinapaswa kutolewa tu bila sababu za msingi.

Tatu, hoja kuhusu BoT inakwenda mbali kila tunavyochambua. Endapo ZNZ wanadai mtaji wa kuanzisha benki yao basi isiishie hapo ni lazima wawajibike katika madeni ya nchi. Kila deni la Tanzania ni deni la JMT.
Hakuna deni lisilo na mahusiano na BoT, vipi wasidai kuwa uanzishwaji wa benki hiyo unapaswa pia kuwa na mgao wa deni la taifa ?

Hoja inazidi kwenda mbali kwa kutambua kuwa mishahara ya wafanyakazi wa SMZ inatoka Hazina -Dar es Salaam.
Hatuwezi kuitenga Hazina na BoT kwasababu ni ndugu wanaofanya kazi kwa pamoja.
Bilioni 32 zimetoka hazina kama mishahara na hatuwezi kuzitenga na BoT.
Kwa mantiki hiyo hesabu zinakuwaje ikifika wakati wa kuachana? Je, ZNZ watakuwa na cha kudai zaidi?

Bila ya kuwepo kwa Tanganyika , Zanzibar isilaumiwe kuto-tao ruzuku kwa BoT. Rudisheni Tanganyiaka ,tujuwe inachangia kiasi gani katika pato la taifa. Hii hali ya kuwa Tanganyika ndio Tanzania na Tanzania ndio Tanganyika haikubaliki tena , na hii ndio chanzo cha migongano katika Muungano.
 
Taso,

..u have raised very interesting points.

..lakini, kuna wa-Tanganyika ambao wako ZNZ na wanalipa kodi huko.

..pia kuna habari kwamba mapato yanayokusanywa na TRA ZNZ huwa hayawasilishwi makao makuu DSM.

..serikali ya ZNZ ipo na ina vyanzo vya mapato, kwa msingi huo nadhani maswali yanayohusu mchango wake ktk kuendesha shughuli za muungano ni ya msingi sana.

..kwa msingi huo nadhani tunarudi palepale. ZNZ inachangia kitu gani ktk muungano??

Tanganyika inachangia kiasi gani katika pato la Taifa. Ua kila kilichokuwa cha Muungano ni cha Tanganyika?
 
Maalim Seif hataki, Ahmed hataki, Jusa hataki. Hawa ndio viongozi unaosema wa kundi la 'niwale'.
Hakuna kiongozi yoyote wa SMZ, BLM, BLW, Uamsho anayesima na hoja yako, wewe unasimama wapi?
WZNZ wote wamegoma kuvunja muungano, wewe unaongelea WZNZ gani?

Sisi ni wale tuliokweda BLW kudai kura ya maoni juu ya Muungano...Uamsho/ tuachiwe tupumuwe kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom