Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna kitu,post imewekwa tarehe 3 December na wewe umejiunga tarehe 3 December,na kuipigia Debe kampuni ya sigara.Kati ya kampuni zinazoongoza kwa kulipa dividends ni kampuni ya Sigara. Sina hakika sana ila hisa moja ni kama Shs 15,000. nakushauri nunua hisa za sigara na hutapoteza fedha zako na zitazidi kukua. Mimi siku hizi najuta kwa nini nilinunua hisa 1000 tu?.
Hapa kuna kitu,post imewekwa tarehe 3 December na wewe umejiunga tarehe 3 December,na kuipigia Debe kampuni ya sigara.
Haya ngoja tusubiri mwingine,maana Ugoro kaishafanya yake
Lakini mjue pia kwenda Ocean Road Hospital kutoa sadaka ya tiba kwa wagonjwa wa Cancer,maana na nyie mnahusika kudhulumu afya za wenzenu.Mtaulizwa mbele ya mungu,msiangalie pesa tu
huwezi kununua hisa za sigara zipo juu sana
Hapa kuna kitu,post imewekwa tarehe 3 December na wewe umejiunga tarehe 3 December,na kuipigia Debe kampuni ya sigara.
Haya ngoja tusubiri mwingine,maana Ugoro kaishafanya yake
Lakini mjue pia kwenda Ocean Road Hospital kutoa sadaka ya tiba kwa wagonjwa wa Cancer,maana na nyie mnahusika kudhulumu afya za wenzenu.Mtaulizwa mbele ya mungu,msiangalie pesa tu
sababu yako mbona ni dhaifu sana, una uhakika gan kuwa atashndwa kununua kwasababu ziko juu.