Hisa za kampuni ipi unaiona ikiendelea miaka 25 ijayo?

Labile

Member
Dec 9, 2016
58
63
Habari ya asubuhi wakuu.

Mimi nataka ninunue Hisa Kati ya kampuni mbili zifuatazo, CRDB au TBL, je kwa jicho la uchumi na mwenendo wao kibiashara unadhani ipi hapo inaweza kuishi miaka 25 mbele, nataka niweke sasa niuze baada ya miaka iyo kupita.

Natanguliza shukrani.
 
Swala la mimi kufa usiwe excuse hapa maana ni mapenzi ya Mungu.
 
CRDB, hata mm mwenyewe naona nachangia kifo cha hii bank, wasipo adapt digital system itakua kama Sacco's sio benk tena
 
Back
Top Bottom