His days are numbered

Ni bora ungeishia kunitukana mimi binadamu mwenzako kuliko kumtukana Mungu,kiburi chako na dharau zako ungemalizia kwangu na siyo kwa Mungu,sasa nakupa siku saba kuanzia leo uombe toba ya rehema kwa Mungu ili akusamehe kwa kumtukana.
Usipofanya hivyo tarehe 9/5/2022 Mungu atasitisha maisha yako,na kama utaendelea kuishi baada ya hiyo tarehe basi Shetani atapewa utukufu kuliko Mungu.
Kwa hiyo dua mbaya umemfungua huyo ndugu..!
 
Ni bora ungeishia kunitukana mimi binadamu mwenzako kuliko kumtukana Mungu,kiburi chako na dharau zako ungemalizia kwangu na siyo kwa Mungu,sasa nakupa siku saba kuanzia leo uombe toba ya rehema kwa Mungu ili akusamehe kwa kumtukana.
Usipofanya hivyo tarehe 9/5/2022 Mungu atasitisha maisha yako,na kama utaendelea kuishi baada ya hiyo tarehe basi Shetani atapewa utukufu kuliko Mungu.
Jamaa amekosea ndio, ila naww nimbuzi tu kwamamlaka gani yakupanga tarehe yamtu kufa.
 
Back
Top Bottom